Pacman: Niko Fiti, Nitashusha Ndonga za Ukweli Dar Live
BAADA ya miaka sita kupita bila ya Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem, Dar kutumika katika mchezo wa Msamsumbwi, bondia Nasibu Ramadhan ‘Pacman’ atakuwa ni miongoni wa mwa mabondia watatu wa Tanzania…
