KIKOSI cha Everton kupitia kocha wao, Ronald Koeman, kimesema kimefurahia ziara yao nchini Tanzania iliyobebwa na ukarimu wa watu wake...