Rostam Azizi aomba Radhi kwa Matamshi Aliyoyatoa kuhusu Majaji wa Tanzania
Mfanyabiashara maarufu hapa nchini, Rostam Azizi hii leo amezungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kauli yake ambayo aliitoa mnamo Juni 26, mwaka huu kuhusu majaji wa Tanzania, huku akiomba radhi kwa yeyote aliyekwazika na kauli zake…
