Kiongozi wa Upinzani Anyweshwa Sumu Kwenye Chai
MSEMAJI wa chama cha upinzani nchini Urusi kiitwacho Russia of the Future, ameeleza kuwa kiongozi wa chama hicho ambaye pia ni mwanaharakati mashuhuri nchini humo, Alexei Navalny (pichani), amenyweshwa sumu iliyowekwa kwenye chai, na…
