The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

samatta

Samatta Aanza Yake Ubeligiji

MSHAMBULIAJI wa Tanzania, Mbwana Samatta anayeichezea timu ya Royal Antwerp ya nchini Ubelgiji amefungua rasmi akaunti yake ya mabao jana. Samatta amefungua akaunti hiyo jana usiku katika mchezo wa Europa dhidi ya Olympiacos huku…

Baba: Samatta Umri Umekuwa Tatizo

BABA mzazi wa mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta, mzee Ally Samatta amefichua kuwa moja ya sababu inayopelekea kijana wake kushindwa kudumu kwenye timu alizojiunga nazo kwenye kipindi cha karibuni ni suala la umri…

Aston Villa Furaha Bila Samatta

Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania Mbwana Ally Samatta, aliwafanya Watanzania wengi kuipenda na kuishabikia Aston Villa ya England, mara baada ya kusajiliwa katika dirisha dogo la msimu 2019-2020. Wachezaji wa Aston Villa…

Beki Stars Amtetea Samatta

BEKI wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ na Klabu ya Mtibwa Sugar, Dickson Job, amesema kuwa nahodha wa Stars, Mbwana Samatta hapaswi kulaumiwa kutokana na matokeo ya kupoteza kwa bao 1-0 kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafi ki…

Fenerbahce Yamtwisha Zigo Samatta

MSIMU  wa 2018/19 haukuwa msimu mzuri kwa Klabu ya Fenerbahce, wakiwa katika hali mbaya karibu na kushuka daraja, kilichotokea ni kumsajili Victor Moses raia wa Nigeria kwa mkopo kutoka klabu ya Chelsea, dirisha la Januari 2019.…

Samatta Aanza Kazi Fenerbahce

Mshambuliaji wa timu ya soka nchini Tanzania Mbwana Samatta amejiunga na klabu ya Uturuki Fenerbahce kwa mkataba wa miaka minne kutoka Aston Villa. Klabu hiyo imeandika katika mtandao wake kwamba imemuongeza nahodha wa…

Samatta: Siondoki Aston Villa

NAHODHA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta, ataendelea kukipiga katika klabu ya Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu England. Aston Villa imenusurika kushuka daraja msimu huu, baada ya kumaliza…

Samatta: Alikiba Usinifokee

NAHODHA wa timu ya taifa ya soka nchini (Taifa Stars) na mchezaji wa Klabu ya Aston Villa ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) Mbwana Samatta, amemtaka msanii Alikiba 'asimfokee' na kumtambia kuelekea kwenye mchezo wa SamaKiba utakaochezwa…

Samatta Uso Kwa Uso Na Van Dijk

STRAIKA Mtanzania anayecheza Aston Villa, Mbwana Samatta, leo anatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kitakacho pambana na mabingwa wa Ligi Kuu England, Liverpool ambao ukuta wao unaongozwa na Virgil van Dijk. Katikamchezo…