×

Tag: shigongo

Shigongo Afichua Madudu Ya Kutisha Ofisi Ya Mwigulu -”Wanaiba Fedha, Watakuingiza Kwenye Matatizo” – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema Taifa hili kila mtu anataka kuiba na wengi wao ni wasomi wanatumia kalamu kama...

READ MORE

Shigongo Ampongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amempongeza Waruba Mwita, Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa kwa kazi nzuri aliyoifanya...

READ MORE

Mbunge Shigongo Afichua Alivyokataliwa Kujiunga Chuo – “Nina Ushahidi, Yupo Profesa Kutoka La 7”- Video

 Mbunge wa Buchosa (CCM), Erick Shigongo akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia...

READ MORE

Mradi wa Maji Kichefuchefu Wamchefua Shigongo

MBUNGE wa Buchosa, Mhe. Eric Shigongo ametaka majibu ya Serikali kuhusu mradi mkubwa wa maji Lumeya, Nayakaliro, Kalebezo hadi Nyehunge...

READ MORE

Wananchi wa Buchosa Washiriki Misa Ya Kuwaombea Wazazi wa Mhe. Shigongo

  Wakati sikuku ya Krismasi ikiwa imemalizika Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group na Mbunge wa Jimbo la Buchosa...

READ MORE

Washindi Wapya wa Vitabu vya Shigongo

DROO ya nne ya Promosheni ya Jipatie Kitabu cha Shigongo imefanyika jana ambapo jumla ya washindi wanne wamepatikana na kwa...

READ MORE

Sikiliza Hadithi za Shigongo Kwenye Simu Yako

MAELFU ya watu wanasikiliza hadithi nzuri, za kusisimua za Eric Shigongo KWA NJIA YA SAUTI kupitia simu yako ya mkononi📱...

READ MORE

Buchosa: Shigongo Awatahadharisha Watakaotafuna Fedha za Uviko 19

Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo amewatahadharisha watendaji wa Serikali kutothubutu kula fedha za Uviko 19 zinazojenga vyumba...

READ MORE

Aliyezawadiwa Kitabu cha Shigongo Afunguka

MWANDISHI mahiri wa vitabu Afrika Mashariki na Kati, Eric Shigongo, kupitia magazeti bora ya michezo ya Spoti Xtra na Championi,...

READ MORE

Shigongo Akabidhi Magodoro 70 ya Mil. 3 Nyehunge Sekondari – Video

MBUNGE wa Jimbo la  Buchosa, Eric Shigongo, amekabidhi Magodoro 70 yenye thamani ya Sh milioni tatu kwa ajili ya wanafunzi...

READ MORE

Diary ya Shigongo: Kwa Nini Ukatishwe Tamaa na Mwenye Kukata Tamaa?

NDUGU yangu, mafanikio siku zote yanakuja kutokana na wewe kujenga uwezo au nguvu ya kukusaidia kufanikiwa kila siku. Hapo nikiwa...

READ MORE

Shigongo Bungeni: Tariff za Kodi Wafanyabiashara Wanaumia – Video

MBUNGE wa Buchosa, Eric Shigongo ameiomba Serikali kufanya mapitio ya baadhi ya tariff za kodi ambazo zimekuwa mwiba kwa wafanyabiashara...

READ MORE

Shigongo Ambana Waitara “Kuna Tatizo la Kivuko” – Video

Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo akiuliza swali bungeni jijini Dodoma leo Septemba 8, 2021 kuhusu adha ya...

READ MORE

Shigongo: Wasio na Form Four Waruhusiwe Kusoma Vyuo – Video

MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo ametoa mapendekezo yake kuhusu muswada wa maboresho ya mfumo wa elimu nchini...

READ MORE

Sengerema, Buchosa Kuondokana na Changamoto za Maji

MRADI wa uanzishwaji wa Kituo kitakachosaidia kuondoa changamoto zinazoikabili jamii nchini hususan maeneo ya vijijini, umetambulishwa kwa wananchi wilayani Sengerema...

READ MORE

Live: Shigongo Anazungumza na Wanahabari Muda Huu

MBUNGE wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Eric Shigongo anazungumza na waandishi wa habari kuhusu masuala...

READ MORE

Shigongo Acharukia Wizi Fedha Serikalini – Video

Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, amegeuka mbogo kwa kile alichokiita kuwepo kwa baadhi ya watendaji wanaoiba fedha serikali....

READ MORE

Shigongo Amuomba Rais Samia Amuondoe Mkurugenzi – Video

MBUNGE wa Buchosa, Eric Shigongo, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan amuondolee Mkurugenzi wa Halmashauri ya Buchosa, Crispin Luanda kwani ameshindwa...

READ MORE

Shigongo: Wanasema Magufuli Aliwadhibiti, Nitashikilia Shilingi – Video

MBUNGE wa Buchosa (CCM) ameipongeza Serikali kwa kuhakikisha umeme unapatikana kwa asilimia kubwa, ambapo ameitaka kuendelea kuwekeza kwenye nishati ya...

READ MORE

Jarida la Siku 100 za Shigongo Latua Kome

HATIMAYE Jarida maridhawa la siku 100 za Mbunge wa Jimbo Buchosa, Mhe. Eric Shigongo limewafikia wananchi wa kisiwa cha Kome...

READ MORE

Shigongo Atembelea Wagonjwa Nyehunge, Awapa Neno Wahudumu wa Afya

MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo akiambatana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Buchosa, Crispin Luanda wametembelea wakina mama ambao...

READ MORE

Shigongo Akagua Ujenzi wa Shule Mpya na Zahanati Buchosa

Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo amefanya mikutano miwili ya hadhara katika Kijiji cha Kahunda na Katwe na...

READ MORE

Shigongo: Mh. Spika Umewaletea Wagogo Heshima

MBUNGE wa jimbo la Buchosa mkoani Mwanza, Eric Shigongo, amempongeza kwa nafasi aliyonayo Spika wa Bunge Job Ndugai, kwa kuleta...

READ MORE

Shigongo Alivyosimama Bungeni, Kuwasilisha Maoni Ya Kamati Ya Bunge -Video

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira Mhe. Eric Shigongo, leo Aprili 27, 2021...

READ MORE

Shigongo: Tusiwe na Wasiwasi, Mama Samia Yuko Vizuri – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amewaasa Watanzania kutokuwa na hofu kwani Rais tuliye naye sasa Mama Samia Suluhu ataendeleza yale...

READ MORE

Shigongo Amwandikia Barua Ndugai “Mtaala wa Elimu Upitiwe” – Video

Mbunge wa Jimbo la Buchosa Eric Shigongo amewasilisha kwa njia ya barua hoja binafsi kwa Spika Job Ndugai ili kujadili...

READ MORE

Shigongo Achimba Visima vya Maji Buchosa

  IKIWA ni mkakati kuhakikisha tatizo la maji linamalizika katika maeneo mbalimbali ya Jimbo la Buchosa, Mbunge wa Jimbo hilo...

READ MORE

Shigongo: Magufuli Alijitoa Sadaka Maisha, Uhai Wake – Video

  MBUNGE wa Buchosa, Eric Shigongo, ameeleza maazimio yake kama mbunge na mwananchi wa Taifa hili katika kuenzi utendaji wa...

READ MORE

Shigongo Ashuhudia Kambi ya Wavuvi Ilivyotekea, Mmoja Afariki, Mamia Wapoteza Makazi

    Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe Eric Shigongo, amewatembelea wahanga wa moto kambi ya uvuvi ya Migongo iliyoko...

READ MORE

Shigongo Amwaga Vitanda vya Wagonjwa Buchosa – Video

MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, amekabidhi vitanda vitano vyenye dhamani ya zaidi ya shilingi milioni 10 katika...

READ MORE

Shigongo, TARURA Wambana Mkandarasi Buchosa – Video

MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, ameambatana na Mratibu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA)...

READ MORE

Shigongo Apania Kujenga Buchosa Mpya, Amwaga Mamilioni – Video

  MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo ametembelea miradi ya maendeleo katika Kata ya Bulyeheke na kuongea na...

READ MORE

Shigongo Apendekeza Buchosa Ipandishwe Hadhi Kuwa Wilaya Kamili

  MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo akiwa katika kikao Kamati Kuu ya Mkoa (RCC) ambapo amependekeza kupandishwa...

READ MORE

Shigongo: Ukitaka Kuwa Salama, Shughulikia Kinga Yako ya Mwili

NI Jumamosi tulivu nikiwa naendelea na majukumu yangu ya kila siku. Moyo wangu umejawa na huzuni kutokana na vifo vya...

READ MORE

Shigongo Awacharukia TARURA Kikaoni – Video

  MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo,  amecharuka katika kikao cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Buchosa...

READ MORE

Shigongo Aingia Darasani Kufundisha Biology Fomu 4 & 6 – Video

  MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, ameamua kuingia darasani na kufundisha somo la Biology kwa wanafunzi wa...

READ MORE

Shigongo Apokea Mabomba Mradi wa Maji Buchosa – Video

MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, amepokea mabomba 300 awamu ya kwanza kwa ajili ya kukamilisha mradi wa...

READ MORE

Shigongo Apokea Vitanda vya Wagonjwa Buchosa – Video

MBUNGE  wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, amepokea vitanda vitano kutoka Hospital ya Tanzanite iliyoko Iseni jijini Mwanza kwa...

READ MORE

Shigongo: Tufanye Maamuzi Kutekeleza Ndoto za Rais – Video

MBUNGE wa Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, amewasihi wabunge wote kumsaidia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli, ...

READ MORE