Maelfu ya Wasauzi Wamshangilia JPM Akiwasili Uwanjani – Video
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Dkt Jakaya Kikwete, leo Mei 25, wameungana na wananchi zaidi ya 30,000 wa Afrika Kusini na marais 22 wa mataifa mbalimbali duniani kuhudhuria…
