The House of Favourite Newspapers
Browsing Tag

SwizzBeatz

Swizz Beats Apagawa na Singeli

KWA kinachoendelea kwa rapa, produyza na mfanyabiashara mkubwa kutoka Marekani, Swizz Beatz ni wazi kuwa tayari ameshachizika na mikwaju ya singeli kutoka Bongo mara baada ya kuonekana mara kadhaa akiruka na mkwaju wa Chura Superstar…