Tanroads Yatoa Tamko, Daraja la Tanzanite Kufungwa Kupisha Matengenezo
WAKALA wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Dar es salaam umetoa taarifa kwa Watumiaji barabara inayokwenda moja kwa moja hadi Daraja la Tanzanite kuwa Daraja hilo linatarajiwa kufanyiwa maboresho kadhaa ya miundombinu hivyo barabara hiyo…
