×

Tag: Tanzia

Tanzia: Dkt. Makongoro Mahanga Afariki Dunia

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kichama wa Ilala Jijini Dar es Salaam, Dkt. Milton...

READ MORE

Moi Alivyoitawala Kenya Miaka 24 kwa Mkono wa Chuma

MAPEMA wiki iliyopita rais wa pili wa Kenya, Daniel Arap Moi, ameaga dunia. Kifo chake kilitangazwa na Rais Uhuru Kenyatta,...

READ MORE

Breaking News: Rais Mstaafu Moi Afariki Dunia

RAIS Mstaafu wa Kenya, Daniel arap Moi, amefariki dunia akiwa na miaka 95, rais Uhuru Kenyatta athibitisha. “Kwa masikitiko makubwa...

READ MORE

Tanzia: Aliyekatwa Ulimi Afariki Dunia

SALIM Mohamed Mkazi wa Tuangoma Dar es Salaam ambaye alikuwa akiishi bila ulimi baada ya kukatwa kutokana na kusumbuliwa na...

READ MORE

Tanzia: Baba wa Mabeste Afariki Dunia

MSANII wa Bongo Flava, William Ngowi, maarufu kwa jina la ‘Mabeste‘ amepata pigo baada ya kuondokewa na baba yake mkubwa...

READ MORE

Tanzia: Staa Bongo Movie Afariki Dunia

TASNIA ya Filamu Tanzania ‘Bongo Movies‘ imepata pigo baada ya kuondokewa na msanii mwenzao, aitwaye Diana Choudry Nsumba ambaye amefariki...

READ MORE

Breaking News: Mama Mzazi wa Erick Kabendera Afariki Dunia

MAMA mzazi wa mwandishi wa habari za uchunguzi, Erick Kabendera, Bi Verdiana Mjwahuzi, amefariki leo Desemba 31, 2019 nyumbani kwake...

READ MORE

Tanzia: Mzee Akilimali wa Yanga Afariki Dunia

ALIYEKUWA Katibu wa Baraza la Wazee la Klabu ya Young Africans (Yanga), Mzee Ibrahim Akilimali amefariki dunia leo asubuhi, Jumamosi,...

READ MORE

Namba 7 Pigo kwa Mama Kanumba – Video

DAR: Kama ni kumbukumbu mbaya, hakika namba 7 itabaki kuwa pigo kila atakapokuwa anaikumbuka mama mzazi wa marehemu Steven Charles...

READ MORE

Tanzia: Aliyekuwa Balozi wa Tanzania Nchini Urusi Afariki

Aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi katika Serikali ya Awamu ya Nne, Balozi Jaka Mwambi amefariki jana Jumapili, Desemba...

READ MORE

Tanzia: Mhubiri Maarufu Duniani, Reinhard Bonnke Afariki

Bonnke ambaye ni raia wa Ujerumani amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 79 akiwa amezungukwa na familia yake. Atakumbukwa...

READ MORE

Bad News: Kijana Aliyeishi kwa Mashine ya Gesi, Afariki Dunia – Video

KIJANA Hamad Awadh, aliyeishi kwa kutegemea mashine ya kumsaidia kupumua amefariki dunia jana jioni Oktoba 17, 2019 katika Hospitali ya...

READ MORE

TANZIA: Aliyekuwa Mkurugenzi Usalama wa Taifa Afariki Dunia

ALIYEKUWA kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Cornell Apson Mwang’onda (75), amefariki dunia mchana wa leo,...

READ MORE

Kasesela Aomba Radhi Taarifa Feki ya Kifo cha Dkt Salim

MKUU wa Wilaya ya Iringa, Dkt. Richard Kasesela amewaomba radhi familia na Watanzania wote kuhusu taarifa aliyoitoa kuwa aliyewahi kuwa...

READ MORE

Mama Asimulia: Martha Aliniaga, “Nakufa, Utalia Mama” – Video

Ni Huzuni kubwa na simanzi imetanda kwa familia ya Mchekeshaji, Martha, aliyefariki dunia juzi  Septemba 11, kutokana na ugonjwa wa...

READ MORE

Beki wa Yanga Juma Abdul Apata Pigo Kubwa

BEKI wa kulia wa Klabu ya Yanga, Juma Abdul Jaffar Mnyamani,  amepata pigo  baada ya kuondokewa na mama yake mzazi...

READ MORE

Tanzia: Msanii Bongo Fleva Afariki Dunia

TANZIA: Taarifa zilizotufikia ni kwamba mmoja wa wasanii wa Bongo Fleva wanaounda Kundi la The Mafik, aitwaye ‘Mbalamwezi‘ (pichani katikati)...

READ MORE

SAFARI YA MWISHO YA MWANDISHI WA GLOBAL, MRESSY – VIDEO

ALIYEKUWA mwandishi wa Global Publishers ambaye alikuwa akiandikia Magazeti ya Michezo ya Champion na Spoti Xtra, Ibrahim Mressy, amezikwa leo...

READ MORE

Tanzia: Global Yapata Pigo, Mwandishi wa Championi na Spoti Xtra Afariki Dunia

KWA masikitiko makubwa, uongozi wa Global Publishers, unatangaza kifo cha mwandishi wake wa aliyekuwa akiandikia Magazeti ya Michezo ya Championi...

READ MORE

Wafanyakazi 5 wa Azam TV Waliofariki Ajalini Kuagwa Leo – Video

NI pigo kubwa kwa tasnia ya habari, wanafamilia na Azam TV kwa kuondokewa na wafanyakazi watano  waliofariki dunia jana Jumatatu,...

READ MORE

TANZIA: Mtendaji Mkuu wa Safaricom Afariki Dunia

TANZIA: Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya mawasiliano nchini Kenya (Safaricom), Bob Collymore,  amefariki dunia leo asubuhi, Julai 1, 2019.  ...

READ MORE

Msiba wa Vaileth Bukumbi…. DC Magu “Taifa Limepoteza Mpambanaji

MWILI wa dada wa Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, marehemu Vaileth James Bukumbi, umeagwa na kuzikwa...

READ MORE

Historia Fupi ya Marehemu Vaileth Bukumbi, Dada wa Shigongo

  MWILI wa dada wa Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, marehemu Vaileth James Bukumbi, unaagwa leo...

READ MORE

Ibada Kumuaga Dada wa Shigongo Yafanyika Bupandwamhela (Pichaz)

IBADA ya kuuaga mwili wa dada wa Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, marehemu Vaileth James Bukumbi,...

READ MORE

BREAKING NEWS: RAIS MORSI AFARIKI DUNIA GHAFLA MAHAKAMANI

ALIYEKUWA rais wa Misri, Mohammed Morsi, akatimuliwa madarakani na jeshi mnamo 2013, ameaga dunia ghafla akiwa mahakamani, televisheni ya taifa...

READ MORE

TANZIA: Bongo Muvi Wapata Pigo, Aunt Fifi Afariki Dunia

Muigizaji wa filamu Bongo ambaye pia ni Diwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Tumaini...

READ MORE

Mazishi ya Mama Yake, Isha Mashauzi Afunguka: Hajaniachia Nyumba Wala Gari! – Video

MWILI wa msanii Bi Rukia Jumaa ambaye ni mama mzazi wa mwimbaji maarufu wa Taarab, Isha Mashauzi umezikwa jana Alhamisi,...

READ MORE

JPM Atoa Heshima za Mwisho kwa Brigedia-Jenerali Ngwilizi

          PICHA NA IKULU RC MWANRI ‘ALIVYOMNING’INIZA’ MTU – VIDEO

READ MORE

Waziri Mkuu Aongoza Mazishi ya Askofu Mmole Mtwara – Video

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania wote wamuenzi marehemu Askofu Mstaafu Gaberiel Mmole (80) wa Jimbo Katoliki...

READ MORE

TANZIA: Waziri Afariki Dunia Zanzibar

TANZIA: Aliyewahi kuwa Waziri wa Michezo na Naibu Waziri Kiongozi katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Ali Juma Shamhuna amefariki dunia...

READ MORE

Tanzia: CCM Yapata Pigo

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepata pigo baada ya kuondokewa mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, Hamisi Mnegero,...

READ MORE

Mwanamuziki Nguli Mose Fan Fan Afariki Dunia

MWANAMUZIKI maarufu wa DR Congo Mose Fan Fan (75) amefariki dunia kwa mshtuko wa moyo nyumbani kwake karibu na barabara...

READ MORE

Posts za Mastaa Diamond, Mwana FA, Vee Money Msiba wa Mzee Mengi

Wasanii nchini wamezidi kutuma salamu za pole kufuatia kifo cha Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi kilichotokea...

READ MORE

LIVE: KIFO cha Mzee MENGI ni MSIBA wa TAIFA na AFRIKA Nzima!

Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dk Reginald Abraham Mengi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Mei 2, 2019 akiwa...

READ MORE

Dkt. Reginald Mengi Afariki Dunia Dubai -Video

MWENYEKITI  Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dkt Reginald Abraham Mengi (75) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Mei 2, 2019...

READ MORE

BREAKING NEWS: RAPA NIPSEY AUAWA KWA RISASI

RAPA wa Marekani, Nipsey Hussle (33) ameuawa kwa kupigwa risasi, asubuhi ya kuamkia leo, Aprili 1, 2019, jijini Los Angeles...

READ MORE

UNYAMA: BABA wa SAID Auawa KIKATILI, Kisa Chake Kitakutoa Machozi – Video

NI mfululizo wa ukatili wa kutisha kati ya wakulima na wafugaji! Siku ya tarehe 26.03.2019 ambapo mtu mmoja afahamikaye kwa...

READ MORE

BREAKING NEWS: MTANGAZAJI EPHRAIM KIBONDE AFARIKI DUNIA

IKIWA ni siku tisa tangu kituo cha Utangazaji cha Clouds Media kupata pigo kwa kuondokewa na aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na...

READ MORE

Dada Aliyetoka Njombe Hadi Bukoba Kumzika Ruge, Afunguka! – Video

Kauli ya kwamba marehemu, Ruge Mutahaba alikuwa kipenzi cha watu imezidi kujidhihirisha zaidi kwenye msiba wake kwani watu kutoka maeneo...

READ MORE