×

Tag: Tanzia

KAGERA: Ajali ya Gari Yaua 11 na Kujeruhi Watano

AJALI mbaya ya gari dogo aina ya Nissan Caravan (Hiace) lenye namba za usajili T 542 DKE ambalo limegonga magari...

READ MORE

TANZIA: MWANZILISHI WA ULINZI NA USALAMA SECURITY AFARIKI DUNIA

Mwanzilishi wa group linalojulikana kwa jina ULINZI NA USALAMA SECURITY, Yona Fares amefariki dunia jana Jumapili. Yona alikuwa maarufu mitandaoni...

READ MORE

Picha za Mazishi ya Mama Kibatala Morogoro

                      PICHA NA CHADEMA MEDIA

READ MORE

Simanzi na Majonzi Kuagwa kwa Mama Kibatala

SIMANZI na majonzi vimetawala wakati wa misa ya kumuombea marehemu Anastazia Mayunga ambaye ni Mama wa Mkurugenzi wa Sheria na...

READ MORE

Tanzia: Mtangazaji wa Radio Free Afrika, Msabaha Afariki Dunia

TANZIA: Aliye kuwa mtangazaji maarufu wa Radio Free Africa, Zubery Msabaha amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Shughuli za mazishi...

READ MORE

Kikwete Aungana na Wanayanga Kumzika Athumani Chama

RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, mapema leo ameungana na baadhi ya wapenzi na...

READ MORE

Kikwete Aongoza Mamia Kuuzika Mwili wa Athuman Msengi, Kisutu

RAIS Mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete amewaongoza mamia ya waombolezaji katika kuaga na kuuzika mwili wa aliyekuwa mpiga picha wa magazeti...

READ MORE

Simanzi, Majonzi na Vilio Kuagwa kwa Mwanahabari Justine Limonga

NI SIMANZI, majonzi na vilio vimeikumba tasnia ya habari kufuatia kumpoteza mwanahabari mwenzao, Justine Limonga ambaye mwili wake umeagwa leo...

READ MORE

JPM Aungana na Watanzania Kuomboleza Kifo cha RC Bendera

RAIS Magufuli atuma salamu za rambirambi kwa familia ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Joel Bendera ambaye amefariki leo hii...

READ MORE

Mwili wa Aliyekuwa DC wa Handeni, Muhingo Rweyemamu Waagwa

Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga na mwandishi wa habari, Muhingo Rweyemamu aliyefariki dunia Jumamosi iliyopita, Septemba...

READ MORE

Bi Mwenda Kuzikwa Leo

Naibu Katibu Mkuu wa CUF, upande wa Profesa Ibrahim Lipumba, Magdalena Sakaya amesema chama hicho kimepokea kwa masikitiko kifo cha...

READ MORE

TANZIA: DC Rweyemamu Afariki Dunia

Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga na mwandishi wa habari, Muhingo Rweyemamu amefariki dunia leo Jumamosi, Septemba...

READ MORE

TANZIA: Mbunge Mpya wa CUF Afariki Dunia

MBUNGE mteule wa Chama cha Wananchi (CUF), Bi Hindu Mwenda amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa...

READ MORE

TANZIA: KADA MAARUFU CCM AFARIKI DUNIA KWA AJALI

  Aliyekuwa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 alichukua fomu ya kugombea Ubunge wa...

READ MORE

Mwenyekiti wa Tadea Mzee Chipaka Afariki Dunia

Aliyekuwa Mwenyekiti wa chama cha siasa cha upinzani nchini cha TADEA, John Lifa Chipaka amefariki dunia jana jioni katika Hospitali...

READ MORE

TANZIA: Mume wa Mbunge Mary Nagu Afariki Dunia

Profesa Joseph Nagu ambaye ni mume wa Mbunge wa Jimbo la Hanang mkoani Manyara, Dk Mary Nagu amefariki dunia katika...

READ MORE

TANZIA: Mmiliki wa Impala Afariki Dunia

Mfanyabiashara maarufu nchini, Maleu Mrema amefariki dunia jana akiwa kwenye matibabu nchini Afrika Kusini. Ndugu wa marehemu,Vincent Laswai alithibitisha msiba...

READ MORE

Jaji Msuya kuzikwa Jumamosi, Dar

Mwili wa aliyekuwa Jaji wa mahakama kuu ambaye amejiuzulu  hivi karibuni, Upendo Msuya unatarajiwa kuzikwa Jumamosi katika makaburi ya Kinondoni...

READ MORE

TANZIA: Jaji Upendo Msuya Afariki Dunia

  Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ambaye alijiuzulu  hivi karibuni, Upendo Msuya amefariki leo Julai 19 baada ya kuugua kwa...

READ MORE

Mamia Wamzika Dickson Kagembe, Bukene Tabora

  MAREHEMU Dickson Kagembe aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akisomea Sheria na baadaye akakumbwa na ugonjwa...

READ MORE

Dickson Kagembe Aagwa na Mamia, Kuzikwa Bukene Tabora Kesho

  MAREHEMU Dickson Kagembe aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akisomea Sheria na baadaye akakumbwa na ugonjwa...

READ MORE

Tanzia: Waziri wa Rais Arap Moi Afariki Dunia

#TANZIA: Waziri wa zamani katika serikali ya Rais Mstaafu Daniel Arap Moi, Nicholas Biwott amefariki dunia akiwa na miaka 77...

READ MORE

Pichaz + Video: Mazishi ya Mkongwe wa Muziki, Shaaban Dede

  Mwimbaji mkongwe nchini wa muziki wa dansi, Shaban Dede aliyefariki dunia jana asubuhi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili...

READ MORE

VIDEO + PICHAZ: Yanayojiri Viwanja vya Majengo Moshi Kuaga Mwili wa Mzee Ndesamburo

MOSHI: Shughuli ya kuuaga mwili wa mmoja wa waasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na siasa za mageuzi...

READ MORE

Tanzia: Balozi Cisco Mtiro Afariki Dunia

Mkuu wa Itifaki mstaafu Balozi Cisco Mtiro amefariki dunia katika Hospitali ya Aga Khan  jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa...

READ MORE

Shabiki wa Simba Aliyefariki Ajalini Akitoka Dodoma, Kuagwa Leo – Dar

Mwili wa shabiki wa Simba, Shose Fidelis aliyefariki kwa ajali ya gari akitokea Dodoma kushuhudia fainali ya Kombe la Shirikisho...

READ MORE

TANZIA: Mzee Philemon Ndesamburo Afariki Dunia

TANZIA: Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini mkoani Kilimanjaro na (Chadema), Mzee Philemon Ndesamburo ameafariki dunia muda mfupi...

READ MORE

Picha za Ibaada ya Kuaga Mwili wa Mume wa Zari, Ivan Ssemwaga

MWILI wa aliyekuwa mume wa Zarina Hassan, Ivan Semwanga ambao ulifika Kampala jana kutoka Afrika Kusini, leo umepelekwa katika Kanisa...

READ MORE

Mtoto wa Amina Chifupa: Nimebaki Peke Yangu

Stori: Boniphace Ngumije | IJUMAA WIKIENDA DAR ES SALAAM: Inauma sana! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kauli aliyoitoa mtoto Abdulrahman Mohamed...

READ MORE

PICHAZ: Dogo Mfaume Alivyozikwa Dar

JUZI JUMATANO, Mei 17, 2017 tasnia ya muziki wa Bongo ilikumbwa na msiba mkubwa baada ya kuondokewa na msanii Mfaume...

READ MORE

PICHAZ: Taswira ya Msiba wa Dogo Mfaume Nyumbani Kwao Chanika – Dar

  KUFUATIA kifo cha aliyekuwa Msanii wa Bongo Fleva, Mfaume Selemani ‘Dogo Mfaume’, aliyetamba zaidi na wimbo wake wa Kazi...

READ MORE

TANZIA: Sozigwa na Mwambungu Wafariki Dunia Muhimbili

#TANZIA: Tanzania imepata misiba miwili baada ya kuondokewa na watu wawili ambao waliwahi kushika nyadhifa za juu kwenye uongozi wa...

READ MORE

Dereva Aliyesababisha Vifo vya Wanafunzi Wawili Akamatwa

KAMISHNA wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Simon Sirro, amethibitisha kutokea kwa vifo vya wanafunzi wawili, Itlamu Athumani (mwanafunzi...

READ MORE

Afa Kisa Goli la Simba

STORI:GLADNESS MALLYA | Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Kifo popote! Mechi ya Simba na Mbao FC iliyochezwa Aprili 10, mwaka huu...

READ MORE

Mgonjwa wa Maumbile ‘Sauzi’ Afariki Dunia

SALUM MILONGO NA MTANDAO ONTLAMETSE Phalatse raia wa Afrika Kusini aliyekuwa na ugonjwa wa maumbile, amefariki dunia usiku wa kumkia...

READ MORE

Afisa wa uhamiaji auawa kwa Risasi

Na : Boniphace Ngomije & Ally Katalambula/GPL/Uwazi D AR ES SALAAM: Simanzi! David Mulungu, 40, (pichani) Afisa Uhamiaji jijini hapa,...

READ MORE

TANZIA: Kiongozi wa Freemasons Tanzania, Andy Chande Afariki Dunia

Aliyekuwa mfanyabiahsra maarufu wa Tanzania na kiongozi wa ‘Freemason’ Afrika Mashariki, Jayantilal Keshavji “Andy” Chande amefariki dunia leo Nairobi nchini Kenya....

READ MORE

TANZIA: Mbunge Dkt. Elly Macha wa Chadema Afariki Dunia

Mbunge wa Viti Maalum wa CHADEMA, Dkt. Elly Marko Macha amefariki dunia leo katika Hospitali ya New Cross Uingereza alikokuwa...

READ MORE

Tanzia: Chuck Berry Afariki Dunia

MWANAMUZIKI nguli na waanzilishi wa muziki aina ya Rock na Roll, Chuck Berry, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka...

READ MORE