The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

TFF

TFF Yakiri Kudaiwa Milioni 76

Shirikisho la Soka nchini TFF limesikitishwa na utaratibu uliotumiwa na Uongozi wa Shule ya Gilbert Bayi wa kudai stahiki zake kupitia vyombo za habari. TFF muda mchache uliopita wametoa taarifa ya kusikitishwa huko, na…

Hatma ya Uchaguzi TFF Julai 16

SAKATA la maombi ya kuzuia Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limeingia katika sura mpya ambapo sasa kesi hiyo imepelekwa mbele mpaka Julai 16, mwaka huu, uamuzi utatolewa. Kesi hiyo imefunguliwa na…

Serikali Kuibeba Taifa Stars

Katibu Mkuu wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesema Serikali imejipanga kuisaidia Timu ya Taifa kwa kuipatia fedha ili kuongeza ufanisi wa timu hiyo ndani na nje ya nchi. Dkt. Abbasi amesema hayo…