×

Tag: TFF

TFF Watangaza vita na MUSIBA, Wampa Siku 7 Tu! – Video

Shirikisho la Soka chini TFF limekanusha taarifa zilizochapishwa katika baadhi ya vyombo vya habari kuwa limehusika na matumiza mabaya ya...

READ MORE

TFF Yafafanua Utata wa Milioni 300

Shirikisho la soka nchini TFF, limejitokeza na kutoa ufafanuzi juu ya taarifa zinazosambaa kuwa ndani ya chombo hicho cha juu...

READ MORE

Ishu ya Wambura na TFF Yawatetemesha Wakubwa

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeingiwa na mchecheto na kushindwa kufafanua ishu ya aliyekuwa Makamu wa Rais wa shirikisho hilo...

READ MORE

Yaliyojiri Baada ya Wambura Kutinga TFF Kibabe – Video

MAKAMU wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Richard Wambura, jana alitinga katika ofisi za shirikisho hilo kibabe...

READ MORE

BREKING NEWS: MNGUTO MWENYEKITI MPYA WA BODI YA LIGI

Mwenyekiti wa Coastal Union ya Tanga, Steven Mnguto amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB). Mnguto amechaguliwa kupitia...

READ MORE

Mahakama Yamrudisha Wambura TFF

HATIMAYE Mahakama Kuu ya Dar es Salaam imemrejesha madarakani aliyekuwa makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael...

READ MORE

Mkwasa Yanga aionya TFF

BAADA ya juzi Ju­mamosi Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutangaza majina ya waliopit­ishwa kuwania nafasi mbalim­bali...

READ MORE

TFF YATOA ONYO KALI KUHUSU MILIONI 50 ZA MAGUFULI

Uongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) umesema kuwa watanzania waache kumsemea Rais John Magufuli kuhusu milioni 50 alizotoa kwa...

READ MORE

Baada ya Kipigo Lesotho, Taifa Stars Warejea Nchini

Timu ya Taifa ya Tanzania #TaifaStars imewasili jioni ya leo Jumatatu, Novemba 19, 2018 ikitokea nchini Lesotho kwenye mchezo wa...

READ MORE

TFF YATEUA WAJUMBE WAPYA KAMATI ZA UCHAGUZI, NIDHAMU, RUFAA MAADILI

Kamati ya Utendaji iliyokutana Jumamosi, Oktoba 20,2018 Makao Makuu ya TFF yaliyopo Karume, Ilala jijini Dar es Salaam ilipitia masuala...

READ MORE

Breaking: Mwenyekiti Kamati ya Uchaguzi TFF Ajiuzulu

MWENYEKITI  wa Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wakili Revocatus Kuuli leo amejiuzulu kuongoza kamati na uongozi...

READ MORE

Eliud Ambokile Atangazwa Mchezaji Bora Wa Mwezi

Mshambuliaji wa timu ya Mbeya City ya mkoani Mbeya, Eliud Ambokile amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Septemba wa Ligi...

READ MORE

TFF YAPIGA STOP MCHAKATO WA UCHAGUZI SIMBA

Baada ya kukamilika kwa zoezi la kurejesha fomu kwa wanachama mbalimbali waliochukua ili kugombea uongozi Simba, Shirikisho la Soka Tanzania...

READ MORE

TFF WAANIKA VIIINGILIO VYA MECHI YA SIMBA NA YANGA

  Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kati ya...

READ MORE

Meneja Simba Afungiwa Kujihusisha na Soka, Faini Milioni 4 – Video

KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemfungia mwaka mmoja kujihusisha na masuala ya soka, Meneja wa Klabu...

READ MORE

Jack Pemba Sasa Kumwaga Pesa Soka la Bongo

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) kwa sasa linahesabu siku chache tu kabla ya kupata dawa ya kupunguza makali ya kuendesha...

READ MORE

MAAMUZI YA KOCHA STARS BAADA YA KUWATOSA WACHEZAJI WA SIMBA

KOCHA wa timu ya Tanzania, Taifa Stars, M-Cameroon, Emmanuel Amunike, amekutana na wachezaji Simba aliowaondoa kwenye kikosi chake baada ya...

READ MORE

VODACOM WAONDOKA LIGI KUU, KENYA YATOA DOZI CECAFA

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) kupitia Bodi ya Ligi limeweka wazi kuwa ligi kuu msimu ujao itakuwa na wadhamini wawili...

READ MORE

TFF: Mtibwa Leteni Ushahidi

SHRIKISHO la Soka la Tanzania (TFF), limeibana klabu ya Mtibwa Sugar juu ya malipo ya deni lao la faini katika...

READ MORE

TFF Yamvua Sanga Uenyekiti Bodi Ya Ligi

KIKAO cha Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kilichofanyika leo Julai 12,2018,  makao makuu ya...

READ MORE

CAF Yawafungulia Mtibwa Michuano ya Kimataifa

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema limepokea barua kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Africa CAF inayoelezea kuwa...

READ MORE

Manara awatolea povu TFF

AFISA HABARI mwenye mbwembwe nyingi kuliko wasemaji wengine wa timu za hapa nchini, Haji Manara wa Simba, ameibuka na kuweka...

READ MORE

Orodha Washindi Tuzo za VPL 2017/18 (Video + Picha)

Hellen Mduma (katikati) akipokea Tuzo ya Mwamuzi Msaidizi Bora Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Harrison Mwakyembe (kushoto) akimkabidhi John...

READ MORE

MAKAMU RAIS ZFA PEMBA AACHIA NGAZI

    MAKAMU wa Rais wa Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) Pemba, Ali Mohammed Ali, ametangaza rasmi kujiuzulu wadhifa huo....

READ MORE

OKWI, BOCCO, NYONI WAINGIA FAINALI MCHEZAJI BORA VPL

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), imekamilisha uteuzi wa wachezaji 3 watakaowania tuzo ya mchezaji bora wa...

READ MORE

Wanaowania Tuzo za Ligi Kuu Bara Msimu wa 2017/18 Yaanikwa

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeanika majina ya wachezaji wanao wania tuzo za Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (VPL) msimu...

READ MORE

Mahakama Yaiagiza TFF Kupitia Upya Ishu ya Wambura

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imekubali maombi yaliyopelekwa na aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la...

READ MORE

Magufuli Kuikabidhi Simba Kombe La Ubingwa

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa Ligi Kuu Bara...

READ MORE

Tuache Siasa Kwenye Sakata la Yondani na Kwasi

MECHI ya watani imechezwa wikiendi iliyopita, Simba ikaibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Yanga, mchezo ukichezwa kwenye Uwanja...

READ MORE

Haji Manara Apewa Onyo Kali na TFF

  Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi, imempa onyo kali Msemaji wa klabu ya Simba SC ya Dar es...

READ MORE

Kamati ya Ligi Yaipa Pointi Tatu Arusha FC

MALALAMIKO YA ARUSHA FC Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi (Kamati ya Saa) imeipa Arusha FC ushindi wa pointi...

READ MORE

TFF YATAJA SIKU YA YANGA KUPEWA 600M ZA CAF

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeibuka na kusema kuwa Klabu ya Yanga itakabidhiwa fedha zao za kuingia hatua ya makundi...

READ MORE

TFF YATANGAZA KUIBEBA YANGA ETHIOPIA

UONGOZI wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) umesema kuwa unaji­panga kuhakikisha unaisaidia na Yanga katika mchezo wake wa marudiano wa...

READ MORE

Uamuzi Wa Kamati Ya Rufaa Ya Tff Kuhusu Sakata La Wambura Na Mengine (Video)

Kamati ya Rufaa ya Maadili imeitupilia mbali rufaa ya Dustan Mkundi Ditopile na kuiagiza Sekretariat kulipeleka suala kake katia vyombo...

READ MORE

Sakata la Wambura Yafikia Patamu

RUFAA ya aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Richard Wambura, sasa imefikia patamu baada ya...

READ MORE

Daktari Amruhusu Ngoma Kuwavaa Waethiopia

DAKTARI Mkuu wa Yanga, Edward Bavu amemruhusu mshambuliaji wao Donald Ngoma kucheza dhidi ya Wolayta Dicha ya Ethiopia kwa kumuanzishia...

READ MORE

Coastal Union Yaendelea Kupata Shavu

KAMPUNI ya Katani Limited yenye makao makuu yake jijini Tanga, imesema kadiri itakavyokuwa na uzalishaji wa kiwango cha juu, itaidhamini...

READ MORE

Huu Moshi Wa Wambura Kufungiwa Utazamwe Kwa Umakini

MCHEZO wa soka ni biashara kubwa katika mataifa mengi duniani, kuna wachezaji ambao wanalipwa mishahara mikubwa na malipo mengine ya...

READ MORE

Karia Aanika Pesa Zilizotumika TFF Tangu Awe Rais

RAIS wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Wallace Karia, ametaja matumizi ya fedha zilizotumika katika uendeshaji wa mashindano mbalimbali tangu...

READ MORE

Ishu Ya Wambura Inaonyesha Ni Jinsi Gani TFF Ilivyo

SOKA la Tanzania lilipata nafuu miaka kumi iliyopita pale lilipoanzishwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutoka Chama cha Soka Tanzania...

READ MORE