×

Tag: wastara

#Exclusive: Wastara Amwaga Machozi – Afichua Kuzushiwa Kifo, Miezi 5 Sijalala – Video

Mwigizaji wa filamu za Kibongo wa kitambo, Wastara Juma amemwaga machozi alipokuwa akihojiwa na mtangazaji  Global TV, Imeda Mtema.

READ MORE

Wastara: Natamani Diamond Awe Mume Wangu

“BABY wangu, hakuna asubuhi isiyokuwa na usiku na ukiona usiku umeingia ujue mchana unakaribia…”Haya ni maneno ya mwanamama wa Bongo...

READ MORE

Nani Amemtupia Jini Wastara?

  WASTARA Juma ni mwanamama anayetia huruma mno na huwa hakosi mambo ya kuhuzunisha kwa mashabiki wake kila uchwao.  ...

READ MORE

Wastara: Nimeugua Muda Mrefu, Nikadhoofika Mwili

  WASTARA Juma si jina geni kwenye Bongo Movies. Ni mwanamama aliyefanya na anafanya vizuri kwenye filamu nchini Tanzania na...

READ MORE

Wastara Asimulia Magufuli Alivyomuokoa

MSANII wa sinema za Kibongo, Wastara Juma, amesimulia jinsi aliyekuwa Rais wa Jahmuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dk John...

READ MORE

Wastara: Wanatumia Ulemavu Wangu Kuniumiza Kimapenzi

WASTARA Juma Kilowoko ni mmoja wa mastaa wa fi lamu hapa nchini waliopitia changamoto nyingi katika maisha yake tangu utotoni...

READ MORE

Wastara: Mama Ulitaka Lulu Akaishi Kwenye Kaburi la Kanumba?

  MSANII nguli wa Bongo Movies, Wastara Juma,ameshindwa kuvumilia na kuamua kumtolea uvivu mama wa aliyekuwa msanii namba moja wa...

READ MORE

Wanaume Wamfanyia Mbaya Wasatara

MWIGIZAJI wa kitambo kwenye Bongo Movies, Wastara Juma amekiri wanaume kumfanyia mbaya. Wastara anasema kuwa, wanaume wengi wanapenda kumuumiza kutokana...

READ MORE

Wastara: Nisingekuwa Jasiri Ningeshakufa Siku Nyingi

STAA wa fi lamu ambaye amepitia misukosuko mingi kwenye maisha yake, Wastara Juma amefunguka kuwa kama asingekuwa mwanamke jasiri maishani...

READ MORE

Wastara Amlilia Tena Sajuki: ‘Alikuwa Mguu Wangu’

MSANII wa Bongo Movies na mjasiriamali, Wastara Juma, ameamua kufunguka tena wakati akikumbuka kifo cha mumewe, Juma Issa Kilowoko (Sajuki), ...

READ MORE

IMEFUNUKA WASTARA ALIPENDA KUVUA SAMAKI, KWENDA PORINI

IMEFUNUKA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya msanii wa filamu za Kibongo, Wastara Juma kufunua siri yake kwamba alipokuwa mdogo alikuwa...

READ MORE

WASTARA NATAMANI KUJIUAAN!

BINADAMU anaweza kuandamwa na matatizo kibao kiasi cha kufikia hatua ya kukufuru lakini hatutakiwi kuwa hivyo bali tunapopata mitihani tushukuru...

READ MORE

WASTARA ATOBOA SIRI YA KUPENDA KUOLEWA

LICHA ya kuolewa zaidi ya mara tatu, msanii mwenye jina kubwa kwenye tasnia ya filamu Bongo, Wastara Juma amesema siri...

READ MORE

UBUYU! CHAZ BABA ABADILI DINI ILI AOE MKE MWINGINE

UBUYU siku nyingine lazima uchanganywe na pilipili kidogo ili uweze kuleta ladha ya tofauti kabisa! Ubuyu wa leo ni wa...

READ MORE

WASTARA AANZISHA ‘PROJECT’ YA AKINA MAMA NA WATOTO

 MWANAMAMA kutoka tasnia ya sinema za Kibongo, Wastara Juma ameanzisha ‘project’ mpya ya kusaidia akina mama na watoto ili kutimiza...

READ MORE

Wastara Akata Tamaa

MWANAMAMA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ametinga jijini Dodoma kuongea na Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Dk Harrison...

READ MORE

WASTARA AMSHUKURU MAGUFULI KUSAIDIA MATIBABU YAKE

Msanii wa Filamu Bongo, Wastara Juma,  jana alifika katika ofisi za Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt.Harrison Mwakyembe...

READ MORE

WASTARA HALI TETE TENA !

LICHA ya Februari, mwaka huu kupatiwa matibabu nchini India, bado hali ya staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ni...

READ MORE

Wastara Akosolewa Kujianika Ramadhani

MREMBO mkongwe wa Bongo Movies, Wastara Juma, amekosolewa kwa kitendo chake cha kujianika mitandaoni akiwa ameshikilia tasbii anaswali.   Licha...

READ MORE

Wasanii Kuchangiwa Fedha za Matibabu… Mchawi ni Nani?

HAINA ubishi kwamba tasnia ya Bongo Fleva na Bongo Movies zinaongozwa kwa kupendwa nchini kuliko tasnia nyingine. Kwanza zina mashabiki...

READ MORE

Wastara atoboa siri kuachika mara tatu

BAADA ya kuolewa mara tatu na ndoa hizo kuvunjika, staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ameibuka na kueleza siri...

READ MORE

Wastara Kusaidia Wanawake Wenye Matatizo – Video

Msanii wa Filamu nchini Wastara Juma, amesema kuwa ameamua kujitolea kusaidia wanawake wote wenye maisha magumu wakiwemo wanaoishi katika mazingira...

READ MORE

Wastara Alamba Shavu Sweden

Wastara Juma. STAA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ambaye hivi karibuni alikuwa nchini India kwa matibabu, baada ya kurudi...

READ MORE

WASTARA AMEMUONA ISRAEL MTOA ROHO MARA NYINGI

MWANAMAMA wa Bongo Movies aliyepitia masahibu mengi ya kimaisha, Wastara Juma amesema kuwa kutokana na mateso na magonjwa yanayomkabili, ameshamuona...

READ MORE

WASTARA, MAMA SOPHIA: ASANTENI SANA GLOBAL

KAMPUNI ya Global Publishers, wachapishaji wa magazeti ya Uwazi, Ijumaa, Amani, Risasi na Ijumaa Wikienda imekuwa ikifanya kazi kubwa ya...

READ MORE

Wastara Arejea Kutoka India kwa Matibabu, Yuko Fiti – Video

MSANII wa Bongo Movie, Wastara Juma amerejea Tanzania leo Alhamisi, Machi 1, 2018 akitokea  India alikokuwa akitibiwa mguu na mgongo...

READ MORE

Wastara sasa Yupo Fiti, Kurejea Nchini Kesho Alhamisi

HAKIKA Mungu ni muweza! Wastara Juma ambaye yupo kwenye matibabu ya mguu katika Hospitali ya Saifee nchini India imeimarika na...

READ MORE

AFYA YA WASTARA MUNGU MKUBWA!

MUNGU mkubwa! Afya ya staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma ambaye yupo kwenye matibabu ya mguu katika Hospitali ya...

READ MORE

WASTARA AANZA RASMI MATIBABU INDIA – PICHAZ

Msanii wa filamu za Bongo, Wastara Juma, tayari ameshawasili nchini India na kuanza rasmi matibabu ya mguu wake katika Hospitali...

READ MORE

Wastara Kutimkia India Kesho Kwa Matibabu

BAADA ya gazeti hili kuandika habari yake kwa mara ya kwanza akiomba msaada wa matibabu ya mguu wake, hatimaye staa...

READ MORE

WASTARA: “Nilitetemeka, MAGUFULI ni Mkali, Anaijua Sauti Yangu Vizuri”

Msanii wa Bongo Muvi, Wastara Juma, amesema kuwa hakuamini baada kupigiwa simu na Rais John Pombe Magufuli ili kumjulia hali...

READ MORE

GLOBAL HABARI: JPM, MAMA JANETH WAMPA WASTARA MIL 15 ZA MATIBABU

Rais John Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wamechangia Sh. milioni 15 kwa ajili ya matibabu ya msanii Wastara Juma...

READ MORE

JPM, Mama Janeth Wampa Wastara Mil 15/= Za Matibabu (Video)

RAIS John Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wamechangia Sh. milioni 15 kwa ajili ya matibabu ya msanii Wastara Juma...

READ MORE

MAMA ALIA… NATESEKA ZAIDI YA WASTARA

  Hujafa hujaumbika! Wakati staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma akiendelea kuomba michango kwa Watanzania ili akatibiwe mguu nchini...

READ MORE

Mamilioni ya Michango ya Wastara ‘Yapigwa’

  AMA kweli kuna watu hawana huruma! Wakati staa wa filamu Bongo, Wastara Juma akihangaika kutafuta msaada wa shilingi milioni...

READ MORE

Waziri Mwakyembe Amtembelea Wastara, Amchangia Milioni 1

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison G. Mwakyembe jana Januari 20, 2018 amemtembelea na kumjulia hali msanii...

READ MORE

Nicole Aingilia Ishu Ya Wastara Kuchangiwa Pesa

MSANII wa filamu Bongo, Nicole Francklyn amewataka wasanii wenzake kuungana na kuendesha kampeni ya kumchangia msanii mwenzao, Wastara Juma kutokana...

READ MORE

Global Entertainment: Hali ya Wastara Yamtoa Machozi Steve Nyerere

Global TV Online kupitia Kipindi chake kipya cha Burudani, Global Entertainment, kinachoruka kila Ijumaa saa 9:000 Alasiri, leo Januari 12, 2017...

READ MORE

MASKINI WASTARA! Tazama Mguu Wake Ulivyoharibika, Anaomba Msaada (Video)

  AMA kweli hujafa, hujaumbika! Ndivyo unavyoweza kusema endapo utaisoma simulizi ya hali ya sasa ya msanii wa filamu Bongo,...

READ MORE

AMKA NA GLOBAL TV: Live Magazeti ya Leo Jumamosi Januari 6, 2017

AMKA NA GLOBAL TV: Magazeti ya Leo Jumamosi Januari 6, 2017 Tunakuletea uchambuzi wa magazeti ya Tanzania, mambo mbalimbali ambayo...

READ MORE