“BABY wangu, hakuna asubuhi isiyokuwa na usiku na ukiona usiku umeingia ujue mchana unakaribia...”Haya ni maneno ya mwanamama wa Bongo Movies, Wastara Juma kwenye ukurasa wake wa Instagram akisindikizia na picha ya mwamba wa Bongo…
WASTARA Juma ni mwanamama anayetia huruma mno na huwa hakosi mambo ya kuhuzunisha kwa mashabiki wake kila uchwao.
Ukiacha mandhila mbalimbali aliyopitia huko nyuma ya kupata ajali na kukatwa mguu, kufiwa na mumewe…
WASTARA Juma si jina geni kwenye Bongo Movies. Ni mwanamama aliyefanya na anafanya vizuri kwenye filamu nchini Tanzania na wenye ushawishi mkubwa.
Wastara amezaliwa Septemba 27, 1983 mkoani Morogoro. Mwaka 1989…
MSANII wa sinema za Kibongo, Wastara Juma, amesimulia jinsi aliyekuwa Rais wa Jahmuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dk John Pombe Magufuli alivyogusa maisha ya watu wengi ikiwemo kuokoa maisha yake.
Akizungumza na RISASI…
WASTARA Juma Kilowoko ni mmoja wa mastaa wa fi lamu hapa nchini waliopitia changamoto nyingi katika maisha yake tangu utotoni mpaka sasa.
Miaka kadhaa iliyopita alipoteza mguu wake, akampoteza mume wake mpenzi ambaye pia…
MSANII nguli wa Bongo Movies, Wastara Juma,ameshindwa kuvumilia na kuamua kumtolea uvivu mama wa aliyekuwa msanii namba moja wa Bongo Movies, marehemu Steven Charles Kanumba, akisema mama huyo anapaswa sasa kumuacha Lulu…
MWIGIZAJI wa kitambo kwenye Bongo Movies, Wastara Juma amekiri wanaume kumfanyia mbaya. Wastara anasema kuwa, wanaume wengi wanapenda kumuumiza kutokana na jinsi alivyo huku wengine wakiwa hawana hata chembe ya huruma na kumuogopa…
STAA wa fi lamu ambaye amepitia misukosuko mingi kwenye maisha yake, Wastara Juma amefunguka kuwa kama asingekuwa mwanamke jasiri maishani mwake angekuwa amekufa siku nyingi.
Akizungumza na AMANI staa huyo alisema kuwa…
MSANII wa Bongo Movies na mjasiriamali, Wastara Juma, ameamua kufunguka tena wakati akikumbuka kifo cha mumewe, Juma Issa Kilowoko (Sajuki), na kuwaomba watu na ndugu waendelee kumuombea kipenzi chake huyo.
Wastara kupitia…
IMEFUNUKA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya msanii wa filamu za Kibongo, Wastara Juma kufunua siri yake kwamba alipokuwa mdogo alikuwa na tabia ya kuwakusanya watoto wa watu mtaani kwao na kuwapeleka mtoni kuvua samaki.
Akiongea na…
BINADAMU anaweza kuandamwa na matatizo kibao kiasi cha kufikia hatua ya kukufuru lakini hatutakiwi kuwa hivyo bali tunapopata mitihani tushukuru na kumuomba Mungu azidi kutulinda na shari!
Hivyo ndivyo anavyoweza…
LICHA ya kuolewa zaidi ya mara tatu, msanii mwenye jina kubwa kwenye tasnia ya filamu Bongo, Wastara Juma amesema siri ya kufanya hivyo ni kutafuta faraja ya moyo wake na wanaye kupata baba sahihi ingawa wakati mwingine mambo yamekwenda…
UBUYU siku nyingine lazima uchanganywe na pilipili kidogo ili uweze kuleta ladha ya tofauti kabisa!
Ubuyu wa leo ni wa mwanamuziki wa Dansi Bongo anayeitumikia Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’.…
MWANAMAMA kutoka tasnia ya sinema za Kibongo, Wastara Juma ameanzisha ‘project’ mpya ya kusaidia akina mama na watoto ili kutimiza ndoto yake ya kusaidia jamii aliyokuwa akiiota kila siku.
Akizungumza na Risasi Jumamosi, Wastara…
MWANAMAMA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ametinga jijini Dodoma kuongea na Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe ambaye ameahidi kumsaidia kufuatilia mkataba wake na Wachina anaodai pesa taslimu shilingi milioni…
Msanii wa Filamu Bongo, Wastara Juma, jana alifika katika ofisi za Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt.Harrison Mwakyembe jijini Dodoma kumshuruku Rais John Magufuli kwa msaada aliompa kufanikisha matibabu yake ya mguu…
LICHA ya Februari, mwaka huu kupatiwa matibabu nchini India, bado hali ya staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ni tete kwani yu hoi kitandani akisumbuliwa na kichwa pamoja na mgongo.
Akizungumza na Za Motomoto News,…
MREMBO mkongwe wa Bongo Movies, Wastara Juma, amekosolewa kwa kitendo chake cha kujianika mitandaoni akiwa ameshikilia tasbii anaswali.
Licha ya kuweka picha hiyo kwa nia njema ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani katika…
HAINA ubishi kwamba tasnia ya Bongo Fleva na Bongo Movies zinaongozwa kwa kupendwa nchini kuliko tasnia nyingine. Kwanza zina mashabiki wengi, zinafuatiliwa kwa ukaribu na ndiyo maana hata zikitokea kuteleza sehemu f’lan serikali…
BAADA ya kuolewa mara tatu na ndoa hizo kuvunjika, staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ameibuka na kueleza siri za kuachika.
Akizungumza katika Tamasha la Single Mothers lililoandaliwa na msanii mwenzake, Faiza Ally na kufanyika…
Msanii wa Filamu nchini Wastara Juma, amesema kuwa ameamua kujitolea kusaidia wanawake wote wenye maisha magumu wakiwemo wanaoishi katika mazingira hatarishi, waliozalishwa na kutelekezwa na wenye matatizo mbalimbali.
Wastara…
Wastara Juma.
STAA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ambaye hivi karibuni alikuwa nchini India kwa matibabu, baada ya kurudi Bongo na kupata nafuu amelamba shavu la kwenda nchini Sweden kuwakilisha wanawake walemavu wa Kiafrika.…
MWANAMAMA wa Bongo Movies aliyepitia masahibu mengi ya kimaisha, Wastara Juma amesema kuwa kutokana na mateso na magonjwa yanayomkabili, ameshamuona Malaika Israel Mtoa Roho mara nyingi mno, lakini kwa sababu Mungu bado anampenda,…
Wastara akionyesha mguu wake uliokatwa.
KAMPUNI ya Global Publishers, wachapishaji wa magazeti ya Uwazi, Ijumaa, Amani, Risasi na Ijumaa Wikienda imekuwa ikifanya kazi kubwa ya kuisaidia jamii tangu kuanzishwa kwake. Wengi…
MSANII wa Bongo Movie, Wastara Juma amerejea Tanzania leo Alhamisi, Machi 1, 2018 akitokea India alikokuwa akitibiwa mguu na mgongo katika Hospitali ya Saifee, Mumbai.
Akifanya mahojiano LIVE na Global TV Online, Wastara…
HAKIKA Mungu ni muweza! Wastara Juma ambaye yupo kwenye matibabu ya mguu katika Hospitali ya Saifee nchini India imeimarika na anatarajiwa kurejea Bongo kesho Alhamisi, Machi 1, 2018.
Taarifa iliyotolewa Afisa Habari, Uenezi ,…
MUNGU mkubwa! Afya ya staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma ambaye yupo kwenye matibabu ya mguu katika Hospitali ya Saifee nchini India imeanza kutengamaa na hivi karibuni anatarajiwa kurejea Bongo.
Akizungumza na Za Motomoto…
Msanii wa filamu za Bongo, Wastara Juma, tayari ameshawasili nchini India na kuanza rasmi matibabu ya mguu wake katika Hospitali ya Saifee nchini humo.
Wastara ambaye alichangiwa fedha na Watanzania mbalimbali…
BAADA ya gazeti hili kuandika habari yake kwa mara ya kwanza akiomba msaada wa matibabu ya mguu wake, hatimaye staa wa filamu Bongo, Wastara Juma amekamilisha kiasi cha shilingi milioni 37 alizokuwa akihitaji na kesho (Jumapili)…
Msanii wa Bongo Muvi, Wastara Juma, amesema kuwa hakuamini baada kupigiwa simu na Rais John Pombe Magufuli ili kumjulia hali na kumsaidia kiasi cha fedha kwa ajili ya matibabu ya mguu wake.
"Nilishangaa sana kuona Rais Magufuli…
Rais John Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wamechangia Sh. milioni 15 kwa ajili ya matibabu ya msanii Wastara Juma ambazo ziliwazilishwa na Katibu wa Rais, Ngusa Samike nyumbani kwa msanii huyo.
Mbali na Rais Magufuli na Mke…
RAIS John Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wamechangia Sh. milioni 15 kwa ajili ya matibabu ya msanii Wastara Juma ambazo ziliwazilishwa na Katibu wa Rais, Ngusa Samike nyumbani kwa msanii huyo. Pia aliwasilisha mchango wa…
Hujafa hujaumbika! Wakati staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma akiendelea kuomba michango kwa Watanzania ili akatibiwe mguu nchini India, mama mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Sidonia Ntabashigwa mkazi wa Salasala jijini…
AMA kweli kuna watu hawana huruma! Wakati staa wa filamu Bongo, Wastara Juma akihangaika kutafuta msaada wa shilingi milioni 37 kwa ajili ya matibabu ya mguu wake unaomsumbua kwa muda mrefu, baadhi ya watu wasiojulikana…
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison G. Mwakyembe jana Januari 20, 2018 amemtembelea na kumjulia hali msanii wa filamu Wastara nyumbani kwake Tabata Sanene, Dar es Salaam.
Wastara kwa kipindi kirefu sasa…
MSANII wa filamu Bongo, Nicole Francklyn amewataka wasanii wenzake kuungana na kuendesha kampeni ya kumchangia msanii mwenzao, Wastara Juma kutokana na maradhi ya mguu yanayomsibu, kwa kuwa hakuna aijuaye kesho.
Akizungumza na…
Global TV Online kupitia Kipindi chake kipya cha Burudani, Global Entertainment, kinachoruka kila Ijumaa saa 9:000 Alasiri, leo Januari 12, 2017 mgeni wetu ni Msanii Maarufu wa Bongo Movie, Steve Mengere 'Steve Nyerere' ambaye…
AMA kweli hujafa, hujaumbika! Ndivyo unavyoweza kusema endapo utaisoma simulizi ya hali ya sasa ya msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma anayesumbuliwa na mguu wake wa kulia aliokatwa baada ya kupata ajali, Risasi limeongea…
AMKA NA GLOBAL TV: Magazeti ya Leo Jumamosi Januari 6, 2017 Tunakuletea uchambuzi wa magazeti ya Tanzania, mambo mbalimbali ambayo yameandikwa kwenye magazeti hayo. Endelea kufuatilia Global TV Online.