The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-41

ILIPOISHIA IJUMAA: Mheshimiwa waziri badala ya kuvishika vitu hivyo kwa mkono alikwenda kuvaa soksi mikononi kisha akavikusanya kwenye gazeti. Niliamini kuwa sasa alikuwa akiviona vitu vyake hivyo ni kama najisi. Baada ya kuvikusanya…

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-40

ILIPOISHIA WIKIENDA Kabla sijajibu kitu mke wangu akakata simu. Asubuhi yake ilikuwa ni Jumapili. Nikaona lile suala ni lazima nilipeleke kwa mchungaji vinginevyo nitaumbuka. Siku ile nilikwenda kwenye ibada ingawa siku nyingine…

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-40

ILIPOISHIA IJUMAA: Mara ileile tukamuona mlinzi akimfungulia geti dereva huyo aliyewasili muda uleule. Mke wangu alipomuona alishuka haraka kwenye baraza ya nyumba, akaelekea kwenye gari letu. Dereva alikuja kunisalimia kisha akaenda…

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-39

ILIPOISHIA WIKIENDA Nikanyamaza tena kwa sababu alichosema kilikuwa ni cha ukweli na ukweli ukidhihiri, uongo hujitenga. “Leo atachukuliwa mtoto na kesho nitachukuliwa mimi, bora nijiepushe mapema. Naenda kwetu.” SASA ENDELEA… Akilini…

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-39

ILIPOISHIA IJUMAA: “Basi wewe nenda.” Mlinzi akatoka. Mimi niliogopa kurudi chumbani, nikaenda kukaa sebuleni. Niliogopa kurudi chumbani kwa sababu nilijua mke wangu alikuwa akinisubiri anishambulie kwa maneno na ugomvi wake ungekuwa…

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-38

Asubuhi alinikumbushia yaliyotokea usiku uliopita. Akaniuliza tena wale watu walikuwa akina nani. Majibu yangu yalikuwa yale yale niliyompa jana usiku. Muda wetu wa kwenda kazini ulipowadia tukatoka. Niliuona uso wa mke wangu haukuwa wa…

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-37

ILIPOISHIA IJUMAA: “Anatujua, sisi ni wenzake. Tulikuwa tukifukua makaburi pamoja. Ana deni letu la mtoto. Alituambia akizaa mtoto wa kwanza atatupa sisi tumle!” “He! Mume wangu…vipi?” SASA ENDELEA… Nikajifanya kama nashangaa. “Naona…

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-36

ILIPOISHIA WIKIENDA Alikuwa amemlaza mtoto kitandani kwake, nikaenda kuugusa mwili wake. “Kweli mwili uko moto,” nikasema. Mke wangu naye akaja kumshika kwenye kichwa. “Jibichwa limotoo.” “Mpeleke hospitali.” “Nilikuwa nakusubiri…

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-35

LIPOISHIA WIKIENDA “Sawa. Mimi nilikuwa nakushauri tumfungulie akaunti mtoto wetu kwa ajili ya maisha yake ya baadaye. Wewe mwenyewe hujui utakuwa waziri hadi lini.” Aliponiambia hivyo nilishindwa kujizuia kucheka. “Mbona unanicheka,…

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-34

ILIPOISHIA IJUMAA: Niliposema hivyo ndiyo nilimpandisha. “Kama ule ndiyo uchawi wa kwenu, hutaki viondoke mle chumbani, nakwenda kuutupa ule mkoba kwenye pipa la takataka!” Akainuka na kuchanganya mwendo kuelekea chumbani. Na mimi…

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-35

ILIPOISHIA WIKIENDA Nilipofika hapo hoteli nikakutana na rafiki yangu mmoja ambaye si tu nilisoma naye Chuo Kikuu cha Mlimani bali pia tulitoka mkoa mmoja. Yeye alikuwa mfanyabiashara. Tukazungumza sana. Yule bwana aliagiza chakula…

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-34

ILIPOISHIA IJUMAA: “Amejifungua salama?” “Amejifungua salama.” “Ni sasa hivi au ni muda uleule mliofika?” “Tulipofika hakukaa sana, akaingizwa kizimbani.” “Kuna kipindi nilipiga simu lakini haikupokelewa.” “Nilikuwa nikishughulika na…

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-33

ILIPOISHIA WIKIENDA Siku ile sikutoka tena nyumbani. Ilipofika usiku mke wangu alimpigia mama yake aliyekuwa akiishi Kinondoni. Akazungumza naye na kukubaliana kuwa mama huyo angekuja kukaa kwetu wakati Suzana akijifungua. SASA ENDELEA……

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-32

ILIPOISHIA IJUMAA: “Mimi nafikiri anaweza kuwa ni kichaa. Mtu mzima na akili zake hawezi kufanya hivyo,” nikamwambia huku nikitazama pembeni. “Kama ni kichaa aliingiaje kwenye geti mahali ambapo palikuwa na askari na alitoka vipi bila…

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-31

Wakati natoka mle ofisini niligeuza uso wangu nikaitazama tena ile ofisi. Nilihisi kama nilikuwa naagana nayo. Huenda nilikuwa naitwa kufukuzwa kazi. Nilishuka ngazi taratibu huku nikiwaza. Maafisa wa wizara yangu niliopishana nao kwenye…

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-30

ILIPOISHIA IJUMAA: “Hello my darling…!” nikamwambia. “Utarudi saa ngapi?” akaniuliza swali hilo kwa jazba. “Kwa nini unaniuliza hivyo?” “Kwa nini nisikuulize, mimi si mke wako? Unataka akuulize nani?” SASA ENDELEA… Ili…

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-29

ILIPOISHIA WIKIENDA Baada ya polisi huyo kufanya marekebisho, alikwenda kumfahamisha mkuu wa kituo ambaye alitoka ofisini kwake akiwa ameshika lile kadi la gari langu. “Umekuja na funguo ya lile gari?” akaniuliza. “Ndiyo ninayo.”…

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-28

ILIPOISHIA IJUMAA: “Sasa nenda na huyo askari, atakwenda kuandikisha maelezo yako halafu nitakuja kukukabidhi gari lako.” Nikatoka na yule polisi. Tulikwenda kaunta ambako alitoa faili akaanza kuandikisha uongo wangu. Baada ya…

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-27

ILIPOISHIA WIKIENDA “Alfajiri ya leo gari hilo lilikutwa limeegeshwa sehemu likiwa halina mtu. Polisi wakalikamata. Tulipolipekua tulikuta likiwa na kadi iliyokuwa na jina lako. Kadi yenyewe ni hii hapa.” Mkuu huyo wa kituo alinionesha…

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-26

ILIPOISHIA IJUMAA: Wakati dereva analiwasha gari hilo na kuliondoa, mawazo yakaanza kunijia. Nilijiuliza hao polisi walitaka kunihoji kuhusu nini na mke wangu walitaka kumhoji nini? Wasiwasi wangu ulikuwa ni endapo gari langu lilionekana…

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-25

ILIPOISHIA WIKIENDA “Kama mmelipata hilo gari ninashukuru sana. Gari langu liliibiwa usiku na kunisababishia usumbufu mkubwa.”  “Liliibiwa usiku?”  “Ndiyo. Kama saa tano usiku nilikuwa katika hoteli moja pamoja na mke wangu. Tulipotoka…

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-24

ILIPOISHIA IJUMAA: Kama angejua kuwa sikuwa na gari hilo, angenisumbua kwa maswali na sikuwa na jibu la kumpa. Kama atajua ni hapo kutakapokucha, nitajua jinsi ya kumueleza, nilijiambia. Hata hivyo, nilikuwa na uhakika kwamba gari lile…

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-21

ILIPOISHIA IJUMAA: “Kumbe huyu bwana halali usiku na anavuta!” nikajiambia kimoyomoyo huku nikimkodolea macho bila yeye kuniona. Kwa vile nilimkuta mwenyewe yuko macho, nisingeweza kumuwangia mbele yake, nikarudi nje ya mlango. Hapo…

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-21

ILIPOISHIA WIKIENDA Nilifika mbali nikaligeuza gari na kurudi. Nilipita tena ile nyumba nikaenda kusimama umbali wa mita mia tatu hivi. Nililiegesha gari pembeni mwa barabara. Nikavua nguo zangu mlemle ndani ya gari kisha nikatoka nikiwa…

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-20

ILIPOISHIA IJUMAA: “Hebu nisubiri,” Mzee Mgorozi akaniambia huku akinifuata. Nikajitokomeza kwenye vichaka. Niliisikia sauti yake nyuma yangu, ikisema. “Yule atakuwa ni Meshack.” Hapo alikuwa amenikusudia mimi. Nikazidi kwenda mbele…

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-18

ILIPOISHIA WIKIENDA Mke wangu akanicheka kwa kuona nilikuwa kigeugeu.  Sasa tukawa tunakuza mimba ya mtoto wetu. Kila nilipoliona tumbo la mke wangu likizidi kukua nilikuwa nikifurahi.  Laiti ningejua matatizo ambayo yangekuja kunitokea…

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi

ILIPOISHIA IJUMAA: “Alah! Wale watu wamepotelea wapi?” Dereva akaniuliza kwa mshangao wakati gari likiwa kwenye kasi. “Si nilikwambia pale hapakuwa na watu, ni maroroso matupu.” “Ni kweli ulivyosema, umejuaje?” “Sote tumezaliwa…

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-16

ILIPOISHIA IJUMAA: Baada ya hotuba yangu ndefu nilitaka kusikiliza kero za wananchi. Wananchi mbalimbali walijitokeza na kutoa kero zao na niliahidi kuzishughulikia. Jambo ambalo lilinishtua kuliibuka kundi la akina Mzee Mgorozi na Bi…