UTAPELI MPYA FEDHA KWENYE SIMU YAKO WATIKISA NCHINI!
BADO wizi wa fedha za kwenye mitandao ya simu unaendelea kutikisa nchini ambapo kwa sasa njia mpya imeibuka ambayo unaibiwa fedha kwenye simu yako ukiwa nayo mkononi.
Wakizungumza na Risasi Mchanganyiko baadhi ya wananchi…
