Zantel yaja na nguvu kubwa, Yaboreshaji mtandao wake
Kutokana na kuimarisha miundombinu ya mtandao wake wa data kwa teknolojia za kisasa zaidi, Zantel inawahakikishia wateja wake kuwa hivi sasa imekuja na nguvu mpya itakayowezesha kupata huduma bora na huduma za interneti…
