Live: Waziri Mkuu Anashiriki Mkutano wa 65 wa Shirika la Utalii Duniani Kamisheni ya Afrika -VIDEO
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa amehudhuria ufunguzi wa mkutano wa Shirika la Utalii Duniani Kamisheni ya Afrika unaofanyika jijini Arusha.