×

Kitaifa

Dkt. Mwigulu Awataka Wahitimu Kujitengenezea Fursa za Kiuchumi

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka wahitimu wa vyuo vikuu nchini kutumia elimu na ujuzi walioupata kuanzisha shughuli za kiuchumi...

READ MORE

Mwanafunzi wa Miaka 13 Auawa Kwa Risasi, Askari 8 Mikononi Mwa Polisi

Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linawashikilia askari nane wa Maliasili Wilaya ya Mbozi kwa mahojiano kufuatia tukio la ufyatuaji...

READ MORE

Rais Samia Amzawadia Mkubwa Fella Gari la Toyota Vellfire

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemzawadia mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Said Hassan...

READ MORE

Mahakama Yatangaza Nafasi za Kazi Mikoa Mitano, Mwisho wa Maombi Januari 15, 2027

Kwa mujibu wa Kanuni ya 4 na ya 6 ya Kanuni za Madalali na Wasambaza Nyaraka wa Mahakama Na. 363...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Novemba 28, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Samia Awachana Wakuu wa Mikoa na Wilaya ‘Mpumzisheni Waziri Mkuu’

DAR ES SALAAM – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka Wakuu wa Mikoa na...

READ MORE

Nahodha wa Mv Mwanza Asimamishwa Kazi Baada ya Ajali ya Meli Kugonga Mwamba – Video

Nahodha aliyekuwa akiendesha meli ya MV Mwanza wakati ilipogonga mwamba katika Ziwa Victoria amesimamishwa kazi mara moja, huku Serikali ikielekeza...

READ MORE

Yanga Yatuma Ujumbe Mzito Kwa MC Alger, Yasema “Tunabonda Huku Tunanyonga”

Klabu ya Yanga imetuma ujumbe wa hamasa kuelekea mchezo wake wa kwanza wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Novemba 27, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Mume Akamatwa Baada ya Mabaki ya Mwili wa Mkewe Kupatikana Kwenye Tanki

Mwanamume mmoja nchini Marekani amekamatwa kwa tuhuma za kumuua mkewe aliyekuwa amepotea kwa takribani miaka sita, baada ya mabaki ya...

READ MORE

DPP Kukata Rufaa Dhidi ya Lissu, Mwanasheria wa Chadema Afunguka

Makili wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, wamesema wamejipanga kukabiliana na hatua ya Mkurugenzi wa...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Ateua Mawaziri Wapya Sita, Naibu Waziri Watano

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Novemba 25, 2026 amefanya mabadiliko ya muundo wa Wizara...

READ MORE

Rais Samia Amteua Dkt. Ayub Rioba Kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Dkt. Ayub Rioba Chacha kuwa Mkurugenzi wa Idara...

READ MORE

Israel: Muungano wa Eisenkot Wapanga Kuunda Serikali Mpya

Muungano wa kisiasa unaoongozwa na chama cha Yashar cha Gadi Eisenkot unatarajia kuapisha serikali mpya mapema Jumatano ijayo, kwa mujibu...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Novemba 26, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Jeshi la Polisi Latangaza Nafasi za Kazi kwa Vijana, Mwisho wa Maombi Novemba 30, 2026

Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza nafasi mpya za ajira kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato...

READ MORE

Mwana Fa Ateuliwa Kuwa Waziri wa Uvuvi, Bashiru Ally Kusimamia Mifugo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Hamis Mohamed Mwinjuma, maarufu kwa jina la Mwana...

READ MORE

Airtel Tanzania yawekeza katika elimu na ujuzi wa kidijitali kuandaa kizazi cha kesho

Kila mtoto ana ndoto kuhusu maisha yake ya baadaye. Wapo wanaotamani kuwa madaktari, wahandisi, walimu na wanasayansi, huku wengine wakitamani...

READ MORE

RC Chalamila Afunguka Mazungumzo Yake ya Mwisho na Edo Mnyama Kabla ya Kufariki

MTANGAZAJI mkongwe wa redio na mshereheshaji wa matamasha nchini Tanzania, Eddo Bashir Sanga, maarufu kwa majina ya Edo Mnyama na...

READ MORE

China Yatua Kenya na Teknolojia ya AI! Wanahabari Kuingia Kwenye Mapinduzi ya Kidijitali

NAIROBI, KENYA– Ushirikiano wa kiteknolojia kati ya China na Afrika umechukua hatua nyingine baada ya China kuzindua programu maalumu ya...

READ MORE

Desemba 4 Si ya Kukosa! Dar Kupokea Tamasha Kubwa la Sifa Viwanja vya Posta – Video

DAR ES SALAAM: Jiji la Dar es Salaam linatarajiwa kuwa kitovu cha sifa, ibada na muziki wa Injili Desemba 4,...

READ MORE

Mfahamu Elon Musk, Bilionea Aliyejenga Himaya ya Teknolojia na Utajiri Mkubwa Duniani

Katika ulimwengu wa teknolojia na biashara, majina machache yamekuwa na mvuto mkubwa kama Elon Musk. Ni mfanyabiashara ambaye amejijengea jina...

READ MORE

Yas Yapeleka Fursa za Magifti ya Viwango kwa Wateja wa Nyanda za Juu Kusini

Mbeya, 25 Novemba 2026. Kampuni ya mawasiliano ya Yas Tanzania imezindua kampeni yake ya sikukuu ya ‘Magifti ya Viwango’ kwa...

READ MORE

DART Yatangaza Nafasi 10 za Kazi za Fani Mbalimbali na Internship

Shirika la Usafiri wa Haraka Dar es Salaam (DART) ni taasisi ya Serikali iliyoanzishwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu,...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Novemba 25, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Yanga Yawapa Wananchi Silaha ya Kuivamia MC Alger Zanzibar

Klabu ya Yanga imewataka mashabiki wake kujitokeza kwa wingi na kukata tiketi mapema kwa ajili ya mchezo dhidi ya MC...

READ MORE

Usiku wa Ulaya Warejea! Man City, Arsenal na Aston Villa Kukiwasha

Hatimaye baada ya muda mrefu, usiku wa Ulaya umerejea ambapo wababe kibao watashuka dimbani kupepetana kuwania pointi 3. Je nani...

READ MORE

Mwigulu Azitaka Tume za Uchaguzi SADC Kutumia Teknolojia Kuimarisha Demokrasia

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amezitaka tume za uchaguzi za nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)...

READ MORE

Davido Ajizawadia Gari la Kifahari la Brabus Lenye Thamani ya Tsh Bilioni 5.6 Kutimiza Miaka 34

STAA mkubwa wa muziki wa Afrobeats kutoka Nigeria, David Adeleke maarufu kama Davido, anaripotiwa kujizawadia gari la kifahari aina ya...

READ MORE

Mwigulu Aagiza Ufanyike Uchunguzi wa Kushuka Kwa Bei ya Miwa

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameiagiza Bodi ya Sukari Tanzania itume timu ya wataalamu kuchunguza sababu za kushuka kwa bei...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Novemba 24, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Rais Samia Azindua Mpango Elekezi wa Afya ya Mama na Mtoto Barani Afrika – Video

ADDIS ABABA, ETHIOPIA – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua Mpango Elekezi wa Kuboresha...

READ MORE

Nafasi za Kazi za Kujitolea Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba

Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera imetangaza nafasi tatu (3) za kazi za kujitolea kwa Watanzania wenye sifa za...

READ MORE

Rasmi! Ruto, Tshisekedi Wakubali Kurejesha Uhusiano wa Kidiplomasia

Rais wa Kenya, William Ruto, na mwenzake wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Félix Tshisekedi, wamekubaliana kurejesha uhusiano wa...

READ MORE

Wolper Aomba Talaka kwa Rich Mitindo, Afunguka Mazito “Hakuna Tena cha Kusuluhisha”

Muigizaji na mfanyabiashara nchini, Jackline Wolper, amefichua kuwa amechukua hatua za kuomba talaka kutoka kwa mume wake, Rich Mitindo, baada...

READ MORE

Rais Samia Ethiopia, Watoto wa Kitanzania Wampa Mapokezi Maalum

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alivyowasili jijini Addis Ababa nchini Ethiopia, Novemba 22, 2026,...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Novemba 23, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Gundua Siri za Ulimwengu wa Kale Kupitia Ammit Underworld ndani ya Meridianbet

Ulimwengu wa mafumbo na hazina zilizofichwa umefungua milango yake ndani ya Meridianbet kupitia mchezo mpya wa Ammit Underworld kutoka kwa...

READ MORE

Historia Yaandikwa! Kiswahili Chapitishwa Kuwa Lugha Rasmi CAF

ABUJA, NIGERIA:  Lugha ya Kiswahili imeidhinishwa kuwa mojawapo ya lugha rasmi za Shirikisho la Kandanda Afrika (CAF), kufuatia mabadiliko yaliyofanywa...

READ MORE

Vyakula 14 Bora Vinavyoweza Kumsaidia Mgonjwa wa Kisukari

Ugonjwa wa kisukari ni miongoni mwa changamoto za kiafya zinazohitaji uangalizi wa karibu wa lishe na mtindo wa maisha. Hata...

READ MORE