Aslay Afungukia Matumizi ya Kinga
STAA wa Ngoma ya Natamba, Aslay Isihaka, amefunguka kuwa, kwenye maisha yake ya faragha kamwe huwa haachi kutumia kinga kwa ajili ya kulinda afya yake.
Akipiga stori na Over Ze Weekend, Aslay amefunguka kuwa, kutokana na uwepo wa…
