🔴#LIVE: Waziri Mkuu Ashiriki Kongamano la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, leo Jumatatu, Oktoba 04, 2021 ameshiriki kongamano la tano la taifa la uwezeshaji wananchi kiuchumi lililofanyika jijini Dodoma.
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, leo Jumatatu, Oktoba 04, 2021 ameshiriki kongamano la tano la taifa la uwezeshaji wananchi kiuchumi lililofanyika jijini Dodoma.
Global Publishers and General Enterprises Limited is a registered private company dealing in publishing of weekly Swahili newspapers in Tanzania, namely; Uwazi, Ijumaa, Championi, Amani, Risasi & Ijumaa Wikienda.