The House of Social Media
gunners X

BASIC MATHS FORM FOUR: Areas and Perimeters – Video

0

Jipange na Pepa Project inayoendeshwa na Kampuni ya Global Group kupitia magazeti pendwa kwa kushirikiana na Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), wanakuletea vipindi vya masomo ya darasani kwa njia ya runinga na simu yako ya kiganjani kupitia Global TV Online.

 

Tunaanza na Kipindi cha Basic Mathematics, Areas and Perimeters ambapo utamsikiliza mwalimu mzoefu akifundisha hatua kwa hatua.

 

Mwanafunzi utakuwa na nafasi ya kufundishwa na walimu mahiri kwa kufuatilia vipindi vya masomo mbalimbali, kuanzia shule ya msingi mpaka sekondari. Utafundishwa masomo yote kama vile Hisabati au Mathematics, Biology, Chemistry, Physics, Kiswahili, English, Sayansi, Stadi za Kazi na mengine mengi.

 

Leave A Reply