Uhamiaji Yatoa Kauli Rasmi Kuhusu Safari ya John Heche
Idara ya Uhamiaji nchini imetoa taarifa ikieleza kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Wegesa Heche, alondoka nchini kupitia mpaka wa Sirari, wilayani Tarime, bila kufuata taratibu na kanuni za…