Ajali ya Ndege ya UPS: Wafanyakazi 11 Wajeruhiwa, Watu 7 Wafariki

Watu 7 wamefariki dunia na 11 kujeruhiwa baada ya ndege ya UPS kuangukia karibu na Uwanja wa Ndege wa Louisville siku ya leo.
Taarifa za awali zinaonyesha kuwa ndege hiyo ilipata tatizo wakati ikikaribia kutua, hali iliyosababisha ajali mbaya.

Mamlaka za uwanja wa ndege na shirika la UPS bado zinaendelea na uchunguzi wa chanzo cha ajali hii, huku familia za waathirika wakipatiwa msaada wa dharura.

