The House of Social Media
gunners X

Samia Aongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya CCM Zanzibar, Wagombea wa Umeya na Uenyekiti Wateuliwa

0

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi Kisiwani Unguja, Zanzibar Novemba 29, 2025.

Kikao hicho pamoja na Mambo mengine kimefanya uteuzi wa wagombea wa CCM wa Umeya wa majiji, manispaa, na Wenyeviti wa halmashauri za miji na wilaya.

Katika hatua muhimu, Kamati Kuu imefanya uteuzi wa wagombea wa CCM kwa nafasi za:

  • Umeya wa majiji

  • Umeja wa manispaa

  • Uenyekiti wa halmashauri za miji

  • Uenyekiti wa halmashauri za wilaya

Leave A Reply