
Je, unatafuta nafasi ya kazi yenye changamoto na fursa za ukuaji? Kampuni yetu inatafuta wafanyakazi wenye motisha na umahiri wa hali ya juu kujiunga na timu yetu katika majukumu ya Customer Care na Assistant Supervisor.
1. Customer Care Officers (17 Nafasi)
Tunatafuta watu wenye uwezo wa mawasiliano bora, wenye nidhamu ya kazi, na wanaoweza kujibu maswali ya wateja kwa heshima na ufasaha. Nafasi hizi zipo kwa wale ambao wana hamu ya kushirikiana na maduka katika Malls na kuhakikisha wateja wanapata huduma bora kila siku.
Vigezo:
-
Good communication skills
-
Customer care nzuri
-
Uwe na uwezo wa kuongea na wateja vizuri
-
Nidhamu ya kazi
-
Kuhudumia maduka katika Malls
Mshahara: 450,000 TSH
2. Assistant Supervisor (13 Nafasi)
Tunatafuta viongozi wa dhati wanaoweza kuongoza na kusimamia timu kwa ufanisi. Nafasi hii ni kwa wale walio na uzoefu wa management, wanajali ukweli na wanapenda kuchangia mafanikio ya timu.
Vigezo:
-
Leadership skills
-
Honestly person
-
Management experience
Mshahara: 800,000 TSH
Jinsi ya Kuomba:
Wapendeleaji wanapaswa kutuma mawasiliano yao kupitia WhatsApp tu: 📱 0656 116 023

