Nafasi za Kazi: Walimu wa Chemistry, Physics, Biology na Mathematics Wanahitajika Haraka

Buchosa Smart Class inatangaza nafasi nne (4) za ajira kwa walimu wa Sekondari katika masomo yafuatayo:
1. Chemistry
2. Physics
3. Biology
4. Mathematics
SIFA ZA MWOMBAJI
-Mwombaji anatakiwa awe na elimu
inayotambuliwa kisheria katika somo husika.
-Awe na uzoefu wa kazi usiopungua miaka
mitatu (3) katika kufundisha ngazi ya sekondari.
-Awe na nidhamu, vadilifu, bidii kazini na uwezo mzuri wa kufundisha.
NAMNA YA KUTUMA MAOMBI
Waombaji wote wanapaswa kutuma Barua ya Maombi pamoja na Wasifu (CV) kupitia WhatsApp kwa namba
ifuatayo: +255 625 237 312

