The House of Social Media
gunners X

Waziri Mkuu Mwigulu Akagua na Kufungua Jengo la ICU Handeni

0

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Februari 13, 2026, amekagua na kufungua Jengo la ICU katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Handeni mkoani Tanga. Ujenzi wa Jengo hilo umegharimu kiasi cha shilingi milioni 426.

Jengo hilo litasaidia kupunguza adha ya wakazi wa Handeni ambao hulazimika kusafiri hadi Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Tanga, umbali wa kilomita 160, kwa ajili ya kupata huduma bora.

Leave A Reply