Kwaresma 2026: Ratiba Rasmi ya Jumapili, Alhamisi Kuu na Pasaka… Ipo Hapa

Safari ya Kwaresma ni kipindi cha toba, sala na tafakari kinachoandaa waumini kuadhimisha Ufufuko wa Kristo. Hiki ni kipindi muhimu sana ndani ya Roman Catholic Church na makanisa mengi ya Kikristo duniani.
Hapa chini nimekuwekea ratiba kamili kwa mpangilio mzuri na rahisi kufuatilia 👇
Mwanzo wa Kwaresma
-
Jumatano ya Majivu – Februari 18, 2026
(Mwanzo rasmi wa Kwaresma – ishara ya toba na unyenyekevu) -
Dominika za Kwaresma
-
Dominika ya Kwanza – Februari 22, 2026
-
Dominika ya Pili – Machi 1, 2026
-
Dominika ya Tatu – Machi 8, 2026
-
Dominika ya Nne (Laetare – furaha katikati ya Kwaresma) – Machi 15, 2026
-
Dominika ya Tano – Machi 22, 2026
-
Wiki Kuu (Holy Week)
-
Dominika ya Matawi – Machi 29, 2026
-
Alhamisi Kuu – Aprili 2, 2026
-
Ijumaa Kuu – Aprili 3, 2026
-
Jumamosi Kuu (Mkesha wa Pasaka) – Aprili 4, 2026
-
Jumapili ya Pasaka – Aprili 5, 2026 🎉

