The House of Favourite Newspapers
gunners X

SPOTI XTRA LAZIDI KUTIKISA MTAANI

TIMU  ya masoko na usambazaji ya Global Publishers Ltd, leo Jumapili imetinga tena mitaa ya Banana, Kitunda, hadi Kivule kwa ajili ya kuwapa wasomaji elimu ya kuzaja kuponi  ya kujishindia jezi za timu zao wanazozipenda kupitia Gazeti la Spoti Xtra.

Ofisa Mauzo, Charles Mponza (wa pili kulia) akiwaelekeza jambo wasomaji wa Spoti Xtra.
…Mjadala ukiendelea.
Uchambuzi na kubadilisha mawazo kuhusu gazeti hilo ndicho kilichochukua nafasi kubwa kila mahali ilipofika timu ya mauzo na usambazaji.

Comments are closed.