Wilaya ya Serengeti Yatangaza Nafasi za Kazi 9 kwa Dereva

Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti, kupitia kwa Mkurugenzi Mtendaji, imetoa tangazo rasmi la ajira ikiwakaribisha Watanzania wenye sifa kuomba nafasi tisa (09) za kazi ya Dereva Daraja la II, baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Tangazo limetolewa tarehe 20 Novemba 2025 kupitia anuani ya Halmashauri hiyo iliyopo Mugumu, Serengeti.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30/11/2025, bonyeza link hapa chini kusma zaidi

