Mzinga: Mashabiki Wa Yanga Wanaamini Nikitangaza Mechi Zao Wanashinda – Video
Ndani ya kipindi maarufu Uso kwa Uso na Mo Hussein, wiki hii tunakuletea mahojiano maalum na mtangazaji nyota wa michezo nchini, Gharib Mzinga (@gharib_mziga23) kupitia Global TV.
Ni nafasi ya kipekee kumsikia akizungumzia safari yake kwenye utangazaji, changamoto, mafanikio, pamoja na mtazamo wake kuhusu maendeleo ya michezo Tanzania.

