The House of Favourite Newspapers
gunners X

Bata la Kifalme! Aziz Ki Aungana na Hamisa Kusherehekea Birthday!

0

Aliyekuwa staa wa Yanga, Stephane Aziz Ki, na mke wake ambaye pia ni staa mkubwa wa mitandaoni, Hamisa Mobetto, wamechochea furaha na gumzo kubwa mtandaoni baada ya kushare picha na video wakiwa wanajivinjari kwenye bata la kifahari wakati wa kusherehekea birthday ya Hamisa.

Katika picha hizo ambazo zimeenea kwa kasi, wawili hao walionekana wakifurahia muda wao kwenye eneo maridadi, wakiwa wametulia, wamenoga, na kuonyesha muonekano wa maisha yenye utulivu na uhalisia wa furaha ya kifamilia.

 

Leave A Reply