Afrima Awards: Diamond Platnumz Anyakua Tuzo 3
Lagos, Nigeria: Diamond Platnumz ameibuka na ushindi wa nguvu kwenye tuzo za Afrima 2016 zilizotolewa Jumapili hii jijini Lagos, Nigeria. Muimbaji huyo ameshinda tuzo tatu, Song of The Year – Utanipenda, Best Artist/Duo/Song Of The Year Utanipenda na Best Male Artist in Eastern Africa.
Pamoja na ushindi huo, Diamond pia alitumbuiza wimbo alioimba na Papa Wemba, msanii aliyetunukiwa tuzo ya heshima.
Wasanii wengine waliotumbuiza ni pamoja na Patoranking, P-Square, Falz, Eddy Kenzo, Avril, Simi, Darey, Phyno, Seyi Shay na wengine.Wizkid
Utanipenda – Diamond
Ahmed Soultan
Falz
Dogo Yaro – Vvip
Best African Collaboration
Eddy Kenzo ft Niniola – Mbilo Mbilo (Remix)
Best African Jazz
Diamond – Utanipenda
Mvula
Patoranking
Henok and Mehari Brothers
Stanley Enow
Phyno
AmineAub
Artiste/Dou/GroupBand in African Contemporary
Naomi Achu
Flavour
Aramide
Best male artiste Northern Africa
Dj Van
Diamond Platnumz


Comments are closed.