The House of Favourite Newspapers
gunners X

A-Z Ndoa Ya Barack Obama Na Michelle Kudaiwa Kuvunjika, Mambo Si Shwari – Video

Ni dhahiri kwamba miongoni mwa ndoa za watu mashuhuri zilizokuwa na mashabiki wengi duniani katika miaka ya hivi karibuni, ni ya aliyekuwa Rais wa 44 wa Marekani kuanzia mwaka 2009 mpaka 2017, Barack Obama na mkewe Michelle.

Mastaa wa muziki duniani kote wamechomekea mashairi kwenye nyimbo zao wakiisifu couple hiyo hasa kutokana na jinsi Obama, kabla hajawa rais, alipokuwa rais na hata baada ya kustaafu, alivyokuwa akionesha mapenzi ya dhati hadharani kwa mkewe huyo.

Hata hivyo, kwa wiki kadhaa sasa hali si shwari kwa wawili hao na inaonesha dhahiri kuna jambo halipo sawa.

Comments are closed.