Elimu ya Amani, Uzalendo na Mazingira Ifundishwe Shuleni: Mgeja
Shinganga: 20 Oktoba 2025, Mwenyekiti Mstaafu wa CCM mkoa wa Shinyanga na taasisi ya Tanzania Mzalendo Foundation Bw. Khamis Mgeja ameishauri na kuiomba wizara ya elimu nchini ifikirie kuona umuhimu namna gani ya…