Dkt. Nchimbi Aitikisa Nyamwage Rufiji Akiomba Kura za Dkt. Samia
Mgombea mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kupitia CCM, Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi ametikisa Mkutano wake wa Kampeni za kumuombea kura rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambapo zimefanyika katika Uwanja wa Soko la…