José Mourinho Arudi Benfica kwa Kishindo
Klabu ya Benfica imechukua uamuzi mzito baada ya kupoteza mchezo wao wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Qarabağ. Timu hiyo maarufu kutoka Ureno imetangaza kutengana na kocha wake mkuu na sasa imeamua kumgeukia gwiji wa soka…