Bajaji 54 Kuuzwa Hadharani kwa Bei ya Ukwaju! – Video
Baada ya ule mnada wa Bajaji 146 za Wajasiriamali walioshindwa kulipa madeni ya mikopo yao, Kampuni ya udalali ya Yono ambao ni Mawakala wa kukusanya kodi za Serikali wamerudi tena na mnada mwingine wa Bajaji 54.


