Shabiki Wa Yanga Mwenye Lishape Lake – Aliyemtongoza Harmo Mtandaoni Afunguka…

Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini Jackrina OG @jackrineorg amefunguka kupitia kipindi cha Funky Friday ya @255globalradio na @globaltvonline na kueleza kuwa anampenda Msanii wa Muziki nchini Harmonize na ataendelea kumpenda mpaka akiwa mzee.

