Barnaba Ashine Kwenye ‘Washa’ Video Mpya
Baada ya kuileta audio na kufanya vizuri, msanii Barnaba Boy ametokelezea kwenye video mpya ya Washa.
Video imeongozwa na Msafiri toka Kwetu Studio.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa, ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Itazame hapa.
Comments are closed.