Bashiri Leo: Real Sociedad, Lecce, West Brom na Zote Ziko Kwenye Meridianbet

Leo hii kuna mechi kibao sana ambazo zitapigwa ndani ya Meridianbet baada ya kushuhudia wikendi timu nyingi zikifuana jasho. Je unajua kwako wewe mteja wa Meridianbet ni rahisi sana kutengeneza pesa hapa?. Bashiri sasa.
Tandika jamvi mechi ya Angers vs Nantes kule LIGUE 1 ambapo tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 5 pekee. Kila timu inahitaji ushindi kusogea kwenye nafasi ya juu kwenye msimamo wa ligi. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000. Tandika jamvi hapa.
BUNDESLIGA kule Ujerumani nayo itarindima ambapo RB Leipzig atakuwa ugenini kusaka pointi tatu dhidi ya Union Berlin ambao wana pointi 15 huku wageni wao wakiwa na pointi zao 26. Takwimu zinaonesha kuwa mechi za msimu uliopita walizokutana zote waitoa suluhu yaani hakuna ambaye alipata goli. Je nani kuondoka na ushindi siku ya leo. Bashiri hapa.
Piga mpunga wa maana na michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
LALIGA kutakuwa na mechi moja ya kubashiri ambapo Real Sociedad atakipiga dhidi ya Girona ambao mechi ya mwisho kukutana, mgeni alipoteza hivyo leo hii anataka kulipa kisasi akiwa ugenini?. Meridianbet wanakwambia kuwa tandika jamvi lako la ushindi hapa.
Italia pia SERIE A kuna mechi moja itapigwa kati ya Lecce dhidi ya Pisa ambao kwasasa wanashika nafasi ya 18 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 14. Pointi 3 ni muhimu kwa kila timu siku ya leo huku nafasi ya wewe kuondoka na ushindi ikiwa mkononi mwako. Jisajili hapa.
Vilevile kule Uingereza, CHAMPIONSHIP kuna mtanange wa pesa West bromwich vs Sheffield United ambao mechi ya mwisho kukutana, walitao sare hivyo leo hii ushindi ni muhimu kwa kila mtu. Je nani kuibuka na pointi 3 siku ya leo?. Beti hapa.

