Blac Chyna Kitumbo Laivu ndindindi!
Blac Chyna akionesha ‘kibendi’ chake.
Miami, Marekani
Baada ya Blac Chyna kutangaza kuwa ana ujauzito wa mchumba wake Rob Kardashian, watu wengi walimbeza na kuhisi ni muongo hivyo ili kuwaziba midomo juzikati alionesha kitumbo chake kikiwa ‘ndindindi’.
Blac Chyna alionekana akiwa na marafiki zake huko Miami ambapo alijiachia kwenye kisima cha kuogelea ‘poolside’, kwa wakati huo Rob hakujulikana alikuwa wapi kwani si kawaida kuwa mbali na laazizi wake huyo.
Kwa Chyna mimba hiyo itakuwa ni ya mtoto wa pili kwani tayari ana mtoto wa kiume aitwaye King Cairo mwenye umri wa miaka mitatu aliyezaa na mpenzi wake wa zamani, Tyga.
KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP
*********
JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU
KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA
INSTAGRAM: @Globalpublishers
ERIC SHIGONGO INSTAGRAM: @ericshigongo
TWITTER: @GlobalHabari
FACEBOOK: @GlobalPublishers
SUBSCRIBE YOU TUBE: Global TV Online
GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com
HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE:@shigongotz

