The House of Favourite Newspapers

Bunge Lathibitisha: Wabunge Wote Wanakatwa Kodi

0

Ofisi ya Bunge la Tanzania imesema, wabunge kama ilivyo kwa watumishi wengine wa umma na viongozi wa kisiasa wanakatwa kodi zote stahiki kwa mujibu wa sheria ikiwemo kodi ya mapato (PAYE) inayokatwa kwenye mishahara ya wabunge. Imesema taarifa zinazosambaa hawakatwi hazina ukweli.

Leave A Reply