WATU wengi wanadharau maji ya kunywa, wanaona kula ndio muhimu kuliko kunywa maji. Wanaona vinywaji vingine ndio bora kuliko kunywa...
READ MOREKITENDO cha mwanamke kutumia kiholela dawa za uzazi wa mpango humuweka katika hatari kiafya hasa kupata kansa ya kizazi. Kibaiolojia...
READ MOREUGUMBA ni hali inayotokea iwapo watu wawili, mwanaume na mwanamke wanapokutana kimwili bila kutumia njia yoyote ile ya upangaji uzazi...
READ MORETume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza nafasi za kazi za muda kwa ajili ya Uboreshaji wa Daftari la Wapiga...
READ MOREKWA SASA Magonjwa mapya huibuka kila uchao na magonjwa yaambukizwayo kwa ngono nayo ni miongoni mwao. Katika makala haya ninakuletea...
READ MORETaasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imepokea mashine ya Echo kutoka katika Taasisi ya Save a Child’s Heart kutoka...
READ MOREWanaWake wengi wanapenda kushika mimba lakini baadhi yao hawashiki. Sio kwa mapenzi yao, hivyo leo tutashauri nini cha kufanya ili...
READ MOREKESI ya wanaume kupungukiwa nguvu za kiume zimezidi kushika kasi huku tafiti zikionesha kuwa tatizo hilo linazidi kuongezeka kila uchwao....
READ MOREMWEZI Mtukufu wa Ramadhani unaendelea, waislamu wote duniani wapo katika mfungo huu, ibada ambayo pamoja na mambo mengine inawataka wafunge...
READ MOREHABARI mtaalam, binti yangu hivi karibuni amejifungua lakini tatizo kubwa linalomkosesha amani ni kutokwa na michirizi mingi tumboni. Nawezaje kumsaidia...
READ MOREWIKI iliyopita tulianza kuangalia tatizo hili la upungufu wa nguvu za kiume ambalo linatajwa kushamiri kwa wanaume wengi. Kwa...
READ MOREUGONJWA wa kisukari (diabetes) unaongezeka haraka sana hivi kwamba umekuwa janga la ulimwenguni pote. Kuna aina mbili kuu za kisukari. ...
READ MOREWENGI tunajua tatizo la Ukimwi; kirefu chake ni Upungufu wa Kinga Mwilini, ni ugonjwa unaoshambulia na kuua chembe chembe nyeupe...
READ MOREKAMA ilivyo kwa wanawake wengi, inapofikia wakati wa hedhi, huwa wanapatwa na maumivu makali sana ya tumbo, likiwa limezoeleka kama...
READ MOREZAMANI matatizo ya unyumba hayakuwa hadharani, yalikuwa ni siri ya mke na mume. Matatizo ya unyumba ni mambo ya chumbani,...
READ MOREUGONJWA huu ni uvimbe unaotokea shingoni hauchagui umri na hufahamika kwa kitalaamu kama cervical/neck lympadenopathy. Tatizo la kuvimba tezi...
READ MOREMOJA ya sababu kubwa inayomfanya mwanamke kuwa mgumba ni ile ya mirija ya uzazi ya mwanamke kuvimba kwa kujaa majimaji...
READ MORELEO katika makala haya, yataangazia ulaji wa tende, na kwa kuzingatia kuwa huu ni Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, tende ndiyo...
READ MORESARATANI ya matiti ni moja ya magonjwa yanayoongoza katika kusababisha vifo kwa kina mama duniani. Lakini licha ya ugonjwa huo...
READ MORESAFU yetu wiki hii imebeba njia mbalimbali ambazo mwanamke anaweza kutumia ili asipate mimba kama hataki kuwa mjamzito. Kutokujamiiana ndiyo...
READ MOREKUKOSA au kutopata hedhi kabisa ni tatizo linalowapata wanawake wengi sana kwa siku za hivi karibuni na kutokana na maswali...
READ MOREBAWASIRI ni ugonjwa unaoibukia katika njia ya haja kubwa (rectum). Hujitokeza kama uvimbe au kijinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje. ...
READ MOREMOJAWAPO ya mambo ambayo yanayowa-sumbua watu wengi ni dhana potofu kuhusu matatizo ya meno yanayouma. Lakini, jambo ambalo linashauriwa ni...
READ MORETATIZO hili la uvimbe wa mlango wa kizazi au kitaalam linaitwa Nabothian Cyst au Nabothian Follicle ni vivimbe au uvimbe...
READ MOREMAPAFU ndio kiungo kinacho-tegemewa sana katika mwili kama utafanya mazingatio maana ubongo ukikosa oksijeni ndani ya dakika 5 kwenda juu...
READ MOREUGONJWA wa mawe kwenye figo siyo mgeni miongoni mwa watu hivi sasa. Hata hivyo, katika siku za hivi karibuni, ukubwa...
READ MOREPRESHA ya kupanda ndio maarufu duniani lakini ipo presha ya kushuka ambayo nayo ni hatari. Hypotension ndio jina linalotumika kuelezea...
READ MOREWANAWAKE inawabidi kujichunguza kila siku ya maisha yao maeneo yao ya uzazi na matiti, vile vile kuichunguza nguo ya ndani...
READ MOREUGONJWA wa maumivu ya viungo huitwa kwa jina lingine yabisikavu. Jina la Kingereza la ugonjwa huo, ‘arthritis, linatokana na maneno...
READ MORETATIZO la mabadiliko yasiyo ya kawaida katika mzunguko wa hedhi huwapata wanawake wengi walio katika umri wa kuzaa na wale...
READ MORETunaendelea na mfululizo wa mada yetu inayohusu maumivu ya korodani chanzo cha kutopata mtoto. Endelea… TATIZO linapotokea katika utu uzima...
READ MOREIDADI kubwa ya watu inasumbuliwa na tatizo la kuwashwa sehemu za siri bila kujali jinsia na umri. Watu wengi wanaamini...
READ MOREWATAALAMU wa afya wanatahadharisha kuwa juhudi zaidi zinahitajika kupunguza kiwango cha ulaji wa sukari kinachotumiwa na watu. Shirika la Afya...
READ MOREPRESHA ya kupanda ndio maarufu duniani lakini ipo presha ya kushuka ambayo nayo ni hatari. Hypotension ndio jina linalotumika kuelezea...
READ MOREKIHARUSI ni ugonjwa wa dharura na hatari mno ambao hutokea pale seli za ubongo zinapokufa kwa kukosa hewa safi ya...
READ MOREKulala ni jambo la kawaida, lakini utamchukulia vipi mtu anapopatwa na usingizi wa ghafla. Hili ni tatizo la kiafya...
READ MORELeo atakudanganya kuhusu hili, kesho kuhusu lile ilimradi tu akuchenge usiende kupaona anapoishi na hata kama ni kukutana, basi atapendelea...
READ MOREKUHARIBIKA kwa chujio za figo kitaalamu Glomerulonephritis ni aina ya ugonjwa wa figo unaoathiri sehemu maalum ya figo (chujio) inayohusika...
READ MOREMAUMIVU tumboni ambayo huja mara kwa mara yanaweza kuwa yanasababishwa na kidonda cha tumbo. Maumivu ya kidonda cha tumbo...
READ MOREUJAUZITO unachangia mabadiliko mbalimbali ya mwili tangu mwezi wa kwanza hadi mwanamke anapojifungua. Katika kipindi chote za kulea mimba, mjamzito...
READ MORE