KUHARIBIKA kwa chujio za figo kitaalamu Glomerulonephritis ni aina ya ugonjwa wa figo unaoathiri sehemu maalum ya figo (chujio) inayohusika...
READ MOREMAUMIVU tumboni ambayo huja mara kwa mara yanaweza kuwa yanasababishwa na kidonda cha tumbo. Maumivu ya kidonda cha tumbo...
READ MOREUJAUZITO unachangia mabadiliko mbalimbali ya mwili tangu mwezi wa kwanza hadi mwanamke anapojifungua. Katika kipindi chote za kulea mimba, mjamzito...
READ MOREMazingira tunayoishi yamejawa na vitu vingi vinavyoweza kusababisha maambukizi ya vijidudu vya magonjwa mbalimbali, kama bakteria, fangasi, virusi na kadhalika...
READ MOREWATU wa rika zote, wanaume na wanawake husumbuliwa na tatizo la maumivu ya kiuno na magoti huku wazee ndiyo huteseka...
READ MOREWiki iliyopita tuliianza mada hii inayohusu maumivu ya shingo, kwa hakika uliweza kujifunza na kuweza kujua chanzo cha maumivu hayo...
READ MOREKIPINDI hiki cha mvua ni vema watu wakafahamu kwa undani ugonjwa wa kipindupindu ili kujikinga. Mojawapo kati ya magonjwa yanayohusishwa...
READ MOREBADO wataalamu wa afya tunasisitiza kwamba, haitakiwi kutumia pamba kusafisha masikio ya mtoto au mtu mzima. Zile pamba ambazo...
READ MOREMAUMIVU ya mara kwa mara ya tumbo ni yale ambayo yanampata mtu kwa muda mrefu au kwa vipindi yaani yanakuja...
READ MOREKULALA si suala la kuweka kichwa chako kwenye mto tu; kunajumuisha mambo mengi. Ili uweze kupata usingizi mnono inakubidi...
READ MORELEO tutaangazia maumivu ya shingo tatizo ambalo watu wengi nchini limewahi kuwapata katika maisha yao ya kila siku. Tatizo hilo...
READ MOREKIPANDA uso cha macho ni maradhi yanayosababisha maumivu ya kichwa yakiambatana na matatizo ya macho ambayo huuma. Maumivu haya huweza...
READ MOREWATAALAM wamekuwa wakiumiza vichwa kwa miaka kadhaa iwapo ulaji wa mayai ni mzuri au mbaya kwa afya yako. ...
READ MOREUGONJWA wa homa ya ini huambukizwa kwa njia ya virusi ambavyo vikishaingia mwilini, hushambulia ini na usipodhibitiwa mapema hugeuka kuwa...
READ MORE“IWAPO una hamu ya kutaka kuishi maisha marefu basi utalazimika kuwekeza katika kujipatia usingizi mzuri, hii ni kulingana na...
READ MOREHOMA ya mapafu ni mashambuliwa ya ugonjwa wa homa ya mapafu (pneumonia) unaoenezwa kwa njia ya hewa. Pneumonia hutokana na...
READ MORELEO tutazungumzia magonjwa ambayo yana chanjo kwa watoto kama vile chanjo za surua, kichaa cha mbwa, dondakoo, homa ya ini,...
READ MOREPAMOJA na mivutano ya kidini kuhusu utumiaji wa nyama ya nguruwe (kitimoto), suala hili linaelezewa kitaalam kwa mujibu wa...
READ MOREWiki iliyopita tuliwaeleza kirefu kuhusu ugonjwa wa kuhara kwa watoto, leo tunamalizia makala hayo kwa kueleza dalili zake na matibabu...
READ MOREFANGASI wapo kila mahali, kwenye miti, mimea, mchanga, ndani majumbani mwetu na hata kwenye ngozi ya binadamu. Kuna aina...
READ MORELEO tutajadili mbinu nne muhimu zitakazokupa mafanikio makubwa katika kupambana kuondoa kitambi. Kwanza jiulize kitambi ni nini? Kitambi ni...
READ MOREUBONGO ni miongoni mwa viungo muhimu vya binadamu lakini ni watu wachache wanaoutilia maanani. Ubongo ndiyo kiungo kinachohusika na...
READ MOREUGONJWA wa mfumo wa mkojo kitaalamu Urinary Tract Infection (U.T.I) umekuwa ukisumbua watu wengi. Leo tutazungumzia ugonjwa huu kwa watoto...
READ MOREKUHARISHA kwa watoto ni tatizo linaloshika nafasi ya pili duniani kwa kusababisha vifo miongoni mwa watoto chini ya miaka mitano....
READ MOREUGONJWA wa mafua unaweza kuwa moja ya sababu kubwa inayofanya watu wengi kushindwa kwenda kazini, shuleni au kwenye shughuli mbalimbali. Ugonjwa...
READ MORESIKU hizi afya za wananchi zipo hatarini, kutokana na ulaji wa vyakula mbalimbali ambavyo ni hatari kiafya. Leo tunaainisha...
READ MOREFIGO ni viungo vilivyomo ndani ya mwili vyenye kazi ya kuchuja uchafu uliomo kwenye damu. Vinahusika pia na uratibu wa...
READ MOREMIEZI saba hadi tisa ya ujauzito huwa kwa kiasi kikubwa salama bila ya kuwa na dhoruba zozote na wakati huo...
READ MOREMARA nyingi ngozi ya miguuni hasa katika ngozi ngumu ya nyayo na katikati ya vidole, ndizo zinazopatwa sana na vimelea...
READ MOREKATIKA mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kufa ganzi kwa...
READ MORENIMEAMUA kuandika makala haya ili kujibu maswali ya wasomaji wa safu hii ambao wanahitaji kushika mimba na wameuliza kwa mfano...
READ MORETATIZO la kukojoa kitandani kwa jina la kisayansi linaitwa enuresis ambapo mtoto aliye katika umri ambao uwezo wa kuzuia mkojo...
READ MORENI tatizo linalowapata zaidi wanawake walio katika umri wa kuzaa ingawa katika hali isiyo ya kawaida inaweza kuwatokea watoto ambao...
READ MORESERIKALI imetangaza nafasi za ajira 4,549 za walimu wa shule za msingi na sekondari katika mwaka wa fedha 2018/19 ili...
READ MOREKUNA tatizo linalowasumbua wanawake wengi hapa nchini na duniani kwa ujumla, hilo ni tatizo la kutokwa na uchafu unaotoa harufu...
READ MORETEZI ya prostate ni tezi yenye umbile la donati, iliyoko chini ya kibofu cha mkojo. Tezi hii huzungukwa na mirija...
READ MOREMAAM-BUKIZI sugu ya njia ya mkojo (Chronic Urinary Tract Infections – U.T.I) ni maambukizi kwenye njia ya mkojo ambayo hayatibiki...
READ MOREMOYO k u p a n u k a au kuwa mkubwa ni tatizo ambalo huathiri utendaji wa mfumo...
READ MOREKUNA mambo muhimu 16 ambayo mama mjamzito hupaswa kuyazingatia kwa afya yake wakati wote wa ujauzito wake wa miezi tisa....
READ MOREHDROSALPINX’ ni hali ambayo mirija ya uzazi ya mwanamke inakuwa inavimba kwa kujaa majimaji na inaziba upande wa mwishoni mwa...
READ MORE