LEO kwenye safu yetu ya tiba kwa chakula tutaona jinsi ya kutibu gesi nyingi tumboni tatizo ambalo uwakumba wengi, wapo...
READ MOREKATI ya maambukizi yanayowasumbua wanawake wengi duniani ni maambukizi ya fangasi sehemu za siri ambayo husababishwa na uwepo wa fangasi...
READ MORECHUMVI ni moja ya vitu vilivyomo katika maji ya baharini, baada ya maji kuwa mvuke baada ya kupata joto, chumvi...
READ MOREUGONJWA wa Degedege (Seizures) ni mojawapo ya maradhi hatari sana kwa watoto na huogopesha sana wazazi na walezi wengi. ...
READ MOREKUTOPATA ujauzito ni miongoni mwa matatizo makubwa yanayowaumiza wanawake wengi kisaikolojia. Mwanamke kutokupata mimba kunaweza kusababishwa na matatizo yake mwenyewe...
READ MORELEO kwenye ukurasa huu tutaona jinsi ya kutibu vidonda koo kwa kutumia tangawizi na limao kwa kuanza tuanze na maji...
READ MOREKuna njia nyingi za uzazi wa mpango, hizi zifuatazo ni baadhi ya njia za uzazi wa mpango ambazo zinafaa kutumika:...
READ MOREMAGONJWA mapya huibuka kila uchao, na magonjwa yaambukizwayo kwa ngono ni miongoni mwao. Hawa ni bakteria wanne ambao...
READ MOREUZAZI kwa njia ya upasuaji kitaalam huitwa cesarean delivery au hospitalini huifupisha kwa kuita c-section na mtaani tumezoea kuita siza. Upasuaji...
READ MOREWANASAYANSI katika mojawapo wa vyuo vikuu nchini Kenya wako kwenye harakati za kuwashauri watu wale wadudu. Ni miaka kumi...
READ MOREKARIBUNI tena katika safu yetu ya Afya. Kama mtakumbuka wiki iliyopita tulianza somo letu hili la tatizo la kukosa hedhi...
READ MOREWATAALAM wamedai kuwa magonjwa mengi yanayowakumba wanadamu ni kutokana na uelewa mdogo wa vyakula vinavyofaa kwa afya zao. Wameongeza...
READ MOREKUNA baadhi ya dalili ambazo mjamzito akiziona zinaashiria tatizo hivyo leo tutajadili kwa kifui dalili hizo tukiwa na imani kwamba...
READ MOREWAJAWAZITO wengi huugua wakati wakiwa na ujauzito na zipo sababu zinazofanya kutokea kwa maumivu ya tumbo wakati wa miezi mitatu...
READ MORELEO tutangalia madhara ya kula nyama… lakini kabla ya kuangalia madhara, kuna makundi makuu mawili ya nyama yaani nyama...
READ MOREUGONJWA wa vidonda vya tumbo hutokea iwapo kidonda cha ukubwa wa angalau wa nusu sentimita kitatokea kwenye sehemu yoyote ya...
READ MOREPALE taa zinapokuwa zimezimwa usiku, usiitumie simu yako ya mkononi (smart phone). Huo ni ushauri uliotolewa na taasisi moja ya...
READ MOREKWA kawaida, mtoto wa kike akishafikia umri wa kuvunja ungo, anaanza kuona siku zake za hedhi. Huendelea kuona siku zake...
READ MOREMWANAMKE kabla ya kubeba ujauzito ni muhimu kujiandaa miezi sita kabla. Katika kipindi hicho anapaswa kula vyakula bora na kujiepusha...
READ MOREFIGO ni miongoni mwa viungo muhimu sana katika mfumo wa utendaji kazi wa mwili wa binadamu. Wiki iliyopita nilieleza jinsi...
READ MOREUGONJWA wa kisukari ni tatizo ambalo siku hizi husababishwa na mfumo wa maisha tunayoishi, tafiti zilizowahi kufanywa zinaonesha kuwa vijana...
READ MOREUSITUMIE kabisa vyombo vya plastiki kuchemshia au kuwekea vyakula vya moto kama chai, maziwa, supu, maji, ugali n.k. ...
READ MOREPALE taa zinapokuwa zimezimwa usiku, usiitumie simu yako ya mkononi (smart phone). Huo ni ushauri uliotolewa na taasisi moja...
READ MOREWATU wengi wanatabia ya kupuuzia baadhi ya dalili zinazojitokeza kwenye afya zao bila kujua chanzo cha dalili hizo. Naomba ifahamike kuwa...
READ MORESalpingitis ni maambukizi yanayoathiri mirija ya uzazi ya mwanamke. Mirija ya uzazi au fallopian tubes ipo miwili upande wa chini wa...
READ MORENI habari mbaya kwa wale wanaofurahia kile wanachofikiri ni kikombe kimoja cha divai kwa siku. Utafiti mpya wa...
READ MOREKWA kawaida makundi ya damu (blood groups) kwa binadamu yapo manne ambayo ni; A, B, AB na O. Makundi haya...
READ MOREMWINGEREZA Matt Haig ambaye ameandika kitabu kilichouzika sana cha ‘Reasons to Stay Alive’ anasema yeye akinywa pombe humletea wasiwasi...
READ MOREDAKTARI ambaye ni mtaalam wa kuwafanyia watu masaji za mwili na viungo, Happiness Mtuya amesema kuwa staa wa filamu za...
READ MOREKumpapasa papasa mtoto au kumkanda taratibu kunapunguza pakubwa shughuli katika ubongo wake hasa zinazohusiana na maumivu, utafiti umebaini hilo....
READ MORESAKATA la mtoto Issaya Merikioni aliyechomwa sindano na daktari na kunyauka mkono kisha ukakatwa linaendelea; sasa Hospitali ya Taifa Muhimbili...
READ MOREDAR ES SALAAM: NI mtihani mzito! Peter Stewart (31), mkazi wa Ubungo – Maziwa, jijini Dar es Salaam, yupo kwenye...
READ MORESio kila mmoja hufurahia kula peke yake,Baadhi ya watu hawapendelei kula peke yao huku wengine wakihofia huenda wakijihisi upweke...
READ MOREBADO afya ya mwimbaji maarufu wa Nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando ni tete ambapo ameiangukia serikali imsaidie ili aweze...
READ MOREINAUMA sana! Kijana Mustafa Saidi (32), mkazi wa Ukonga-Mombasa jijini Dar anadai kukiona kifo chake kutokana na mateso makubwa...
READ MORE“MIMI nakufa.” Inasikika sauti ya mtoto akiugulia maumivu huku mwili wake ukiwa umekonda kupita maelezo; wanaomsaidia wanamfariji kwa kumuambia kuwa...
READ MOREKUPOTEZA fahamu kutokana na unywaji wa pombe kupita kiasi ni hali ambayo watu wengi wameshawahi kuishuhudia japo mara moja maishani....
READ MOREDaktari mmoja katika jimbo la Gujarat nchini India amekamatwa na polisi baada ya kumfanyia upasuaji mama mjamzito akiwa amelewa....
READ MORETATIZO la kutoshika ujauzito, linasababisha matatizo makubwa bainaya wanandoa na upo ushahidi kwamba ndoa nyingi zimevunjika kwa sababu ya tatizo...
READ MORE