×

Afya

MNAOPENDA SANA SUKARI, HII INAWAHUSU!

 WATAALAMU wa afya wanatahadharisha kuwa juhudi zaidi zinahitajika kupunguza kiwango cha ulaji wa sukari kinachotumiwa na watu.  Shirika la Afya...

READ MORE

IFAHAMU PRESHA YA KUSHUKA (HYPOTENSION)

PRESHA ya kupanda ndio maarufu duniani lakini ipo presha ya kushuka ambayo nayo ni hatari.  Hypotension ndio jina linalotumika kuelezea...

READ MORE

 KIHARUSI; MAMBO MUHIMU YA KUYAFAHAMU

KIHARUSI ni ugonjwa wa dharura na hatari mno ambao hutokea pale seli za ubongo zinapokufa kwa kukosa hewa safi ya...

READ MORE

Ijue Hali Inayosababisha Kulala Wakati Wote

  Kulala ni jambo la kawaida, lakini utamchukulia vipi mtu anapopatwa na usingizi wa ghafla. Hili ni tatizo la kiafya...

READ MORE

UONGO MKUBWA WANAOTUMIA WANAUME KWENYE MAPENZI

Leo atakudanganya kuhusu hili, kesho kuhusu lile ilimradi tu akuchenge usiende kupaona anapoishi na hata kama ni kukutana, basi atapendelea...

READ MORE

HATARI YA KUHARIBIKA KWA CHUJIO ZA FIGO (GLOMERULONEPHRITIS)

KUHARIBIKA kwa chujio za figo kitaalamu Glomerulonephritis ni aina ya ugonjwa wa figo unaoathiri sehemu maalum ya figo (chujio) inayohusika...

READ MORE

MAUMIVU TUMBONI YALETWAYO NA KIDONDA CHA TUMBO !

MAUMIVU tumboni ambayo huja mara kwa mara yanaweza kuwa yanasababishwa na kidonda cha tumbo.   Maumivu ya kidonda cha tumbo...

READ MORE

FAHAMU HATARI ZA KIAFYA KWA WAJAWAZITO

 UJAUZITO unachangia mabadiliko mbalimbali ya mwili tangu mwezi wa kwanza hadi mwanamke anapojifungua. Katika kipindi chote za kulea mimba, mjamzito...

READ MORE

SEPTOL; DAWA KIBOKO KWA KUUA VIJIDUDU VYA MARADHI

Mazingira tunayoishi yamejawa na vitu vingi vinavyoweza kusababisha maambukizi ya vijidudu vya magonjwa mbalimbali, kama bakteria, fangasi, virusi na kadhalika...

READ MORE

CHANZO CHA MAUMIVU YA KIUNO NA MAGOTI

WATU wa rika zote, wanaume na wanawake husumbuliwa na tatizo la maumivu ya kiuno na magoti huku wazee ndiyo huteseka...

READ MORE

FAHAMU CHANZO CHA MAUMIVU YA SHINGO-2

Wiki iliyopita tuliianza mada hii inayohusu maumivu ya shingo, kwa hakika uliweza kujifunza na kuweza kujua chanzo cha maumivu hayo...

READ MORE

UGONJWA WA KIPINDUPINDU (CHOLERA) KIPINDI HIKI CHA MVUA

KIPINDI hiki cha mvua ni vema watu wakafahamu kwa undani ugonjwa wa kipindupindu ili kujikinga.  Mojawapo kati ya magonjwa yanayohusishwa...

READ MORE

HATARI YA KUCHOKONOA KWA PAMBA MASKIO YA WATOTO

BADO wataalamu wa afya tunasisitiza kwamba, haitakiwi kutumia pamba kusafisha masikio ya mtoto au mtu mzima.    Zile pamba ambazo...

READ MORE

KUWA MAKINI NA MAUMIVU YA MARA KWA MARA YA TUMBO

MAUMIVU ya mara kwa mara ya tumbo ni yale ambayo yanampata mtu kwa muda mrefu au kwa vipindi yaani yanakuja...

READ MORE

Yajue mambo sita ya kukupa usingizi mnono

  KULALA si suala la kuweka kichwa chako kwenye  mto tu; kunajumuisha mambo mengi. Ili uweze kupata usingizi mnono inakubidi...

READ MORE

FAHAMU CHANZO CHA MAUMIVU YA SHINGO

LEO tutaangazia maumivu ya shingo tatizo ambalo watu wengi nchini limewahi kuwapata katika maisha yao ya kila siku.  Tatizo hilo...

READ MORE

KIPANDA USO UGONJWA HATARI KULIKO UNAVYODHANI

KIPANDA uso cha macho ni maradhi yanayosababisha maumivu ya kichwa yakiambatana na matatizo ya macho ambayo huuma.  Maumivu haya huweza...

READ MORE

Kula Mayai Kunaweza Kukusababishia Kifo

  WATAALAM wamekuwa wakiumiza vichwa kwa miaka kadhaa iwapo ulaji wa mayai ni mzuri au mbaya kwa afya yako.  ...

READ MORE

TAHADHARI YA KUCHUKUA KWA HOMA YA INI!

UGONJWA wa homa ya ini huambukizwa kwa njia ya virusi ambavyo vikishaingia mwilini, hushambulia ini na usipodhibitiwa mapema hugeuka kuwa...

READ MORE

Je Unajua Usingizi Unaweza Kukusababishia Kifo?

  “IWAPO una hamu ya kutaka kuishi maisha marefu basi utalazimika kuwekeza katika kujipatia usingizi mzuri, hii ni  kulingana na...

READ MORE

FAHAMU UGONJWA WA HOMA YA MAPAFU

HOMA ya mapafu ni mashambuliwa ya ugonjwa wa homa ya mapafu (pneumonia) unaoenezwa kwa njia ya hewa.  Pneumonia hutokana na...

READ MORE

YAJUE MAGONJWA YANAYOZUILIKA KWA CHANJO KWA WATOTO

LEO tutazungumzia magonjwa ambayo yana chanjo kwa watoto kama vile chanjo za surua, kichaa cha mbwa, dondakoo, homa ya ini,...

READ MORE

Zifahamu faida, madhara ya kula ‘kitimoto’

  PAMOJA na mivutano ya kidini kuhusu utumiaji wa nyama ya nguruwe (kitimoto), suala hili linaelezewa kitaalam kwa mujibu wa...

READ MORE

UGONJWA WA KUHARISHA KWA MTOTO -2

Wiki iliyopita tuliwaeleza kirefu kuhusu ugonjwa wa kuhara kwa watoto, leo tunamalizia makala hayo kwa kueleza dalili zake na matibabu...

READ MORE

FAHAMU AINA ZA FANGASI WA KWENYE NGOZI

FANGASI wapo kila mahali, kwenye miti, mimea, mchanga, ndani majumbani mwetu na hata kwenye ngozi ya binadamu.     Kuna aina...

READ MORE

NJIA RAHISI ZA KUONDOA KITAMBI

 LEO tutajadili mbinu nne muhimu zitakazokupa mafanikio makubwa katika kupambana kuondoa kitambi.   Kwanza jiulize kitambi ni nini? Kitambi ni...

READ MORE

Vyakula vinavyoongoza kuongeza akili kwenye ubongo

  UBONGO ni miongoni mwa viungo muhimu vya binadamu lakini ni watu wachache wanaoutilia maanani. Ubongo ndiyo kiungo kinachohusika na...

READ MORE

JINSI YA KUZUIA U.T.I KWA WATOTO

UGONJWA wa mfumo wa mkojo kitaalamu Urinary Tract Infection (U.T.I) umekuwa ukisumbua watu wengi. Leo tutazungumzia ugonjwa huu kwa watoto...

READ MORE

UGONJWA WA KUHARISHA KWA MTOTO

KUHARISHA kwa watoto ni tatizo linaloshika nafasi ya pili duniani kwa kusababisha vifo miongoni mwa watoto chini ya miaka mitano....

READ MORE

USIYOYAJUA KUHUSU UGONJWA WA MAFUA

UGONJWA wa mafua unaweza kuwa moja ya sababu kubwa inayofanya watu wengi kushindwa kwenda kazini, shuleni au kwenye shughuli mbalimbali.  Ugonjwa...

READ MORE

AINA TANO ZA VYAKULA HATARI!

SIKU hizi afya za wananchi zipo hatarini, kutokana na ulaji wa vyakula mbalimbali ambavyo ni hatari kiafya.     Leo tunaainisha...

READ MORE

FAHAMU SABABU ZA FIGO KUSHINDWA KUFANYA KAZI!

FIGO ni viungo vilivyomo ndani ya mwili vyenye kazi ya kuchuja uchafu uliomo kwenye damu. Vinahusika pia na uratibu wa...

READ MORE

MAMBO YANAYOJITOKEZA MIEZI 7 MPAKA 9 YA UJAUZITO

MIEZI saba hadi tisa ya ujauzito huwa kwa kiasi kikubwa salama bila ya kuwa na dhoruba zozote na wakati huo...

READ MORE

JINSI YA KUKABILIANA NA FANGASI WA MIGUUNI

MARA nyingi ngozi ya miguuni hasa katika ngozi ngumu ya nyayo na katikati ya vidole, ndizo zinazopatwa sana na vimelea...

READ MORE

ELEWA TATIZO LA MIKONO / MIGUU KUFA GANZI

KATIKA mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kufa ganzi kwa...

READ MORE

ZIJUE SIKU UNAZOWEZA KUNASA UJAUZITO!

NIMEAMUA kuandika makala haya ili kujibu maswali ya wasomaji wa safu hii ambao wanahitaji kushika mimba na wameuliza kwa mfano...

READ MORE

TATIZO LA WATOTO KUKOJOA KITANDANI LINATIBIKA

TATIZO la kukojoa kitandani kwa jina la kisayansi linaitwa enuresis ambapo mtoto aliye katika umri ambao uwezo wa kuzuia mkojo...

READ MORE

KUTOKWA NA MAJIMAJI, MUWASHO UKENI (VAGINAL DISCHARGE)

NI tatizo linalowapata zaidi wanawake walio katika umri wa kuzaa ingawa katika hali isiyo ya kawaida inaweza kuwatokea watoto ambao...

READ MORE

Serikali Yamwaga Ajira Mpya za Walimu 4,549

SERIKALI imetangaza nafasi za ajira 4,549 za walimu wa shule za msingi na sekondari katika mwaka wa fedha 2018/19 ili...

READ MORE

SABABU ZA WANAWAKE KUTOKWA NA UCHAFU SEHEMU ZA SIRI

KUNA tatizo linalowasumbua wanawake wengi hapa nchini na duniani kwa ujumla, hilo ni tatizo la kutokwa na uchafu unaotoa harufu...

READ MORE