×

Afya

NAFASI ZA KAZI 10 KUTOKA WIZARA YA AFYA, Deadline: 2018-12-12

1. ICT OFFICERS (SOFTWARE DEVELOPER) – 6 POST Employer: MINISTRY OF HEALTH (MOH) Date Published: 2018-11-27 Application Deadline: 2018-12-12 DUTIES...

READ MORE

JINSI YA KUKABILIANA NA MAUMIVU YA KICHWA!

KHALID Chokoraa ameimba; kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu, wewe unakonda mwenzako ananenepa kwa mawazo…kwa mawazo…kwa mawazo.  Hicho kilikuwa ni kibwagizo...

READ MORE

DTB-TANZANIA YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA HOSPITALI YA RUFAA YA AMANA.

Diamond Trust Bank (T) Ltd, (DTB-Tanzania) leo hii, imekabidhi vifaa tiba kwa uongozi wa hospitali ya rufaa ya Amana, ikiwa...

READ MORE

NI VYAKULA GANI VINAVYOONGEZA NGUVU ZA KIUME?

POLE na kazi Anko, mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 37. Tatizo linalonisumbua, ni kwamba katika siku za hivi...

READ MORE

HAWA: NATESEKA, TUMBO LINAJAA MAJI KILA WIKI

KAMA watoto wakinililia, waambie kesho nitarejea, Wadanganye na vibagia, waambie pipi ntawaletea, Nawe usichoke kuvumilia, na kila siku kuniombea, Unapokwenda...

READ MORE

HUKU AKIENDELEA NA MATIBABU, ALI CHOKI TUMUOMBEE

HALI ya staa wa muziki wa Dansi nchini, Ali Choki ambaye amelazwa katika Hospitali ya Bugando, Mwanza bado haijatengemaa ambapo...

READ MORE

Dalili na tiba ya ugonjwa wa presha ya macho!

MTU anaweza kujiuliza presha ya macho au kitaalamu Glaucoma ni nini? Hili ni ongezeko la presha ya macho, kimsingi macho...

READ MORE

OMMY DIMPOZ AFANYIWA DUA NZITO NA MASHEHE

KUFUATIA hali yake ya kiafya kuwa mbaya, mwanamuziki wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amefanyiwa dua ya nguvu na...

READ MORE

Jinsi ya Kupika Keki ya Karoti

KATIKA safu hii pendwa ya Mapishi, leo tunaangalia jinsi ya kutengeneza keki ya karoti. MAHITAJI -Mayai manne -Siagi kikombe kimoja...

READ MORE

FAHAMU SABABU ZA KUWA NA U.T.I SUGU

MAAMBUKIZI kwenye njia ya mkojo ( Urinary Tract Infection kifupi U.T.I) ni maambukizi yanayoshika nafasi ya pili kuupata mwili mara...

READ MORE

KUKABILIANA NA MAUMIVU KWENYE TENDO LA NDOA KWA MWANAMKE

TATIZO hili kitaalamu linaitwa ‘Dyspareunia ‘. Maumivu hutokana na suala kubwa la matatizo katika tendo la ndoa au’ sexual Dysfunction’...

READ MORE

HIZI NI HATARI SITA ZA KUTOA MIMBA

HII ni hali ya mwanamke kwa hiari yake mwenyewe kuharibu mimba iliyoingia ndani ya kizazi chake. Kutokana kuongezeka kwa idadi...

READ MORE

Madhara ya maambukizi katika via vya uzazi (pid) kwa mwanamke

MAAMBUKIZI katika via vya uzazi kwa kawaida hujulikana kama PID, kitaalamu kirefu chake ni Pelvic Inflammatory Disease, kwa Kiswahili maana...

READ MORE

SABABU MIMBA KUTUNGA NJE YA MFUKO WA UZAZI

LEO tutaelezea kuhusu mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi wa mwanamke au ectopic pregnancy . Hili ni ni tatizo...

READ MORE

MWANAMKE KUKOSA MSISIMKO WA TENDO LA NDOA

  TATIZO hili la mwanamke kukosa msisimko wa tendo la ndoa kitaalamu tunaita ‘Female Sexual arousal disorder’. Mwanamke akiwa na...

READ MORE

Yafahamu Maajabu Matano Katika Mwili wa Binadamu

 Nywele nyekundu Watu wenye nywele nyekundu duniani (watu weupe, Wazungu) ni wachache sana,wako chini ya asilimia mbili. Hivyo wana haki...

READ MORE

MAPISHI YA LEO MKATE WA TAMBI

LEO kwenye safu hii ya mapishi tunajifunza jinsi ya kupika mkate wa tambi ambao una ladha nzuri na rahisi kuutengeneza....

READ MORE

WAZALENDO WAJITOLEA DAMU

Taasisi ya Wazalendo nchini kwa kushirikiana na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Kitengo cha Mifupa na Fahamu (MOI) jana waliendesha...

READ MORE

AFYA YA LISSU GUMZO 2020!

MIONGONI mwa matukio yaliyozungumzwa sana tangu mwishoni mwa mwaka 2017 mpaka sasa ni kupigwa risasi kwa Mbunge wa Singida Mashariki,...

READ MORE

King Majuto Tumuombe! – Video

TUMUOMBEENI! Mungu afanye uponyaji kwa mzee wetu. Ndiyo kauli inayozungumzwa na Watanzania wengi waliomuona mkongwe wa vichekesho, Amri Athuman ‘King...

READ MORE

Fahamu Mtoto wa Miezi 6-12 Anapaswa Kula Nini

LEO tunazungumza na walezi hasa wenye watoto wachanga wa kuanzia siku moja hadi miezi sita ya kwanza. Katika maisha, mtoto...

READ MORE

Daktari Achambua Ugonjwa wa Mbowe

BAADA ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kulazwa Hospitali ya Muhimbili kwa saa 24, madaktari waliozungumza na gazeti hili juzi...

READ MORE

Waliokula Nyama ya Kiboko Hatarini… Dokta Afunguka!

 MOROGORO: Ilikuwa ni patashika nguo kuchanika! Wananchi wa Kata ya Kihonda, Manispaa ya Morogoro mjini, wamekumbwa na taharuki baada ya...

READ MORE

CHAKULA MUHIMU CHA MJAMZITO

 BAADHI ya vyakula ambavyo mama anapaswa kula awapo mjamzito na vile anavyotakiwa kuviepuka katika kipindi hicho tutavijadili leo. Mjamzitto anashauriwa...

READ MORE

Mapya Yaibuka, Zari Kujenga Hospitali ya Wanawake Dar

MIONGONI mwa mambo ya kumfanya staa akumbukwe hata baada ya kifo chake ni pamoja na kurudisha kwa jamii (to give...

READ MORE

Maharage ya nazi na ndizi mzuzu kwa futari

LEO kwenye safu yetu ya Mapishi tutaona jinsi ya kupika maharage ya nazi kama futari ambayo ni matamu kwa kula...

READ MORE

WAJAWAZITO WAPATATISHIO JIPYA!

UPEPO wa maisha ya Maria na Consolata Mwakikuti, pacha walioungana ambao walifariki dunia hivi karibuni na kuzikwa mkoani Iringa baada...

READ MORE

IGP SIRRO ATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro,  jana Jumanne alikabidhi msaada wa aina mbalimbali kwa watoto yatima ikiwa...

READ MORE

KIONGOZI, ZANZIBAR STARS ATAABIKA NA FIGO

KIONGOZI wa Kundi la Zanzibar Stars Modern Taarab na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Utalii nchini, Rashidi Shabani maarufu...

READ MORE

Epuka Vyakula Hivi Ndani ya Mwezi wa Ramadhani

KUNA aina sita za vyakula na ulaji ambao mfungaji anashauriwa kuepuka ili kulinda afya yake wakati huu wa mfungo wa...

READ MORE

SABABU 10 ZA MAUMIVU KWA MJAMZITO.

LEO nitakufahamisha sababu kumi (10) za maumivu ya tumbo wakati wa miezi mitatu ya kwanza ya ujauzito. Maumivu ya tumbo...

READ MORE

Chanzo cha Matatizo ya Uzazi na Mamna ya Kuyakabili -3

MSOMAJI wangu, bado naendelea na mada hii ambapo leo nitageukia kipengele cha maambukizi ya virusi vinavyosababisha matatizo katika uzazi. Kuna...

READ MORE

Jinsi ya Kupika Futari ya Ndizi, Nyama na Nazi

MAHITAJI 1.Ndizi mbichi 2.Nyama robo 3.Nyanya kubwa 4 4.Nazi moja kubwa 5.Kitunguu maji kikubwa 1 6.Kitunguu swaumu punje 3 7.Nyanya...

READ MORE

AKIMBIWA KISA, UGONJWA WA KIFUA KIKUU

  MKAZI wa Mbezi Makabe, jijini Dar es Salaam, Upendo William, amelalamikia kile alichodai kuwa kutelekezwa na mume wake wa...

READ MORE

Mlo Sahihi Wakati wa Mfungo wa Ramadhani

  VYAKULA vinavyofaa kuliwa wakati huu wa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ni vingi, leo tutaanza kuchambua kimoja baada...

READ MORE

Jinsi ya Kupika Futari ya Mihogo na Samaki

LEO kwenye mapishi tutaona jinsi ya kupika futari ambayo ni tamu sana ya mihogo na samaki. Mahitaji: -Mihogo. -Nazi. -Chumvi....

READ MORE

Tende, Maji Zinavyofaa Wakati wa Mfungo wa Ramadhani

VYAKULA vinavyofaa kuliwa wakati huu wa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ni vingi, leo tutaanza kuchambua kimoja baada ya...

READ MORE

Wananchi Wasilishwe Vibudu; Serikali Isimamie Hilo

KITOWEO kinatumika na watu wengi mijini na vijijini, ni bidhaa inayohitaji kuwa safi na salama wakati wa utayarishaji wake kuanzia...

READ MORE

‘HUMANITY AUCTION FOR CHILDREN FOUNDATION’ YAGAWA MSAADA KWA WALEMAVU

TAASISI isiyo ya kiserikali ya Humanity Auction For Children Foundation ambalo lengo lake ni kuwasaidia walemavu wa aina mbalimbali ikiwemo...

READ MORE